Huu ni mwezi wa kula kula sana. Yaani kugeuza chakula cha mchana kula usiku. Mwezi huu kiwango cha chakula anachokula mtu kwa muda wa masaa 24 ni kingi kuliko anachokula miezi mingine.Ebu tuelimishane,
kwanini kwenye mfungo wa ramadhan vyakula vinapanda bei?
Kwanini bar, gesti na kitimoto biashara inakuwa ngumu kwenye mfungo?
Mimi nilitegemea biashara ya chakula iwe ngumu maana si watu hawali chakula. Na kwa biashara za bar na kitimoto ziendelee kama kawaida maana waliofunga hawatumii hizo ni haramu kwao.
[emoji23][emoji23]Huu ni mwezi wa kula kula sana. Yaani kugeuza chakula cha mchana kula usiku. Mwezi huu kiwango cha chakula anachokula mtu kwa muda wa masaa 24 ni kingi kuliko anachokula miezi mingine.
Huu mwezi mfungaji anakula chakula kingi kuliko miezi mingine, so economically, demand inakuwa kubwa kuliko supply kwa hiyo soko linajibalance lenyewe kwa bei kupanda. Mm nimetolea mfano kwenye misosi tu, huko kwenye pombe na kitimoto nimewaachie wajuvi wa hizo mamboEbu tuelimishane,
kwanini kwenye mfungo wa ramadhan vyakula vinapanda bei?
Kwanini bar, gesti na kitimoto biashara inakuwa ngumu kwenye mfungo?
Mimi nilitegemea biashara ya chakula iwe ngumu maana si watu hawali chakula. Na kwa biashara za bar na kitimoto ziendelee kama kawaida maana waliofunga hawatumii hizo ni haramu kwao.
Ugomvi hahaha!! Ila kiukweli ndugu zetu wanakula sana mdudu sema basis tu.Leo nimechinja Kitimoto 5, siku 30 zilizopita biashara ilikuwa mbaya, nilikuwa nachinja 2 tu kwa siku.