Kwenye min point za tcu 0.5 ni ya gs au mathematics ya o level au a level???

Christafari

Senior Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
117
Reaction score
13
Kwenye min point za tcu 0.5 ni ya gs au mathematics ya o level au a level???
 
Kawaida hiyo ni ya GS ingawa mwaka huu min ni 2.0,hivyo 0.5 haiswihi kiviile hapo.
 
Kama una E flat (dision 3 ya 15) utakua una point 3. . .kama una f ya gs na bam <o level math C>. . .alaf una aplly chuo facult inayotaka 3.5 inakuaje hapo.?
 
cut off point hawahesabu Bam na gs.kama una C YA MATH O LEVEL WANATUMIA HYO ATA KAMA ADVANCE UMEFAIL BAADH YA COURSE.hapo cut point zako ni 3,na kuna vyuo vinakuchukua .soma guidbook vzuri.
 
Kwenye min point za tcu 0.5 ni ya gs au mathematics ya o level au a level???
ww mdogo wangu la utakuwa unaulizia 0.5 ya basic applied mathemetics BAM.nayo huwa mtu akifaulu anapewa S kama kwa gs kuna comb ukisoma lazima na hiyo uisome
 
haya mambo ya mwaka huu hatari. na hilo la walioenda jkt ndo watapata chuo likoje wadau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…