Christafari
Senior Member
- Jun 2, 2013
- 117
- 13
Kwenye min point za tcu 0.5 ni ya gs au mathematics ya o level au a level???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww mdogo wangu la utakuwa unaulizia 0.5 ya basic applied mathemetics BAM.nayo huwa mtu akifaulu anapewa S kama kwa gs kuna comb ukisoma lazima na hiyo uisomeKwenye min point za tcu 0.5 ni ya gs au mathematics ya o level au a level???
haya mambo ya mwaka huu hatari. na hilo la walioenda jkt ndo watapata chuo likoje wadau?