Nilikuwepo mpilipili.
Wahudhuriaji wengi wa hayo mambo ndio walivyo, Watu hawawezi kuacha ofisi au biashara Mkuu.
Hawatapata mashangazi wa kupiga awamu hii..unaonaje mashambulizi ya Bwana Chaurembo na Bwege?
..hivi ccm itabaki kusini ikiwa Chaurembo na Bwege wataendelea kupiga kampeni namna ile?
Jokakuu,
Swala la nchi yetu kuingia uchumi wa kati sio tamko la Serikali yetu wala CCM ila ni tamko la World Bank
Hvyo kama una pingamizi, manung'uniko, sikitiko, kisununu, miwasho miwasho, kiraruraru basi wapigie World Bank kwa hii namba +1 202-473-1000
Kazi ya mwananchi ni kupata huduma kutoka kwa wagombea na sio kazi ya wananchi kuwachangia pesa kisha wakishida hata msaad binafsi hawatoi...Bernard Membe aliuliza wananchi waliohudhuria mkutano wake kuhusu fedha walizonazo mfukoni.
..katika wananchi waliohudhuria mkutano ule wa kampeni hakuna aliyekuwa na shilingi elfu 10 mfukoni mwake.
..wakati huohuo serikali inajigamba kwamba tumepanda daraja na kufikia uchumi wa kati.
..kwa kweli ccm, magufuli, na serikali, wako out of touch na hali halisi ya maisha ya waTanzania.
..propaganda walizokuwa wakieneza zimeanza kuwaathiri hata wao wenyewe.
Data wanapewa na serikali ya ccm.Jokakuu,
Swala la nchi yetu kuingia uchumi wa kati sio tamko la Serikali yetu wala CCM ila ni tamko la World Bank
Hvyo kama una pingamizi, manung'uniko, sikitiko, kisununu, miwasho miwasho, kiraruraru basi wapigie World Bank kwa hii namba +1 202-473-1000
CCM ni kuibana tu kwenye "facts" ndipo ubabaishaji wao utakapo eleweka. Katika kipindi cha kampeni huvaa sura za kinafiki na kuanza kutoa kauli zenye kutoa matumaini na hata kujifanya ni watu wenye kujali na wapo karibu na matatizo ya Watanzania.Ni kweli, nilikuwepo lakini mfukoni nilikuwa na buku mbili tuu...
Data wanapewa na serikali ya ccm.
Hao World Bank wakimkuta Saniniu Mount Meru Hotel "kachafua meza" wanasema Watanzania wapo njema.Jokakuu,
Swala la nchi yetu kuingia uchumi wa kati sio tamko la Serikali yetu wala CCM ila ni tamko la World Bank
Hvyo kama una pingamizi, manung'uniko, sikitiko, kisununu, miwasho miwasho, kiraruraru basi wapigie World Bank kwa hii namba +1 202-473-1000
..Hold on!!
..kwa hiyo inawezekana kabisa serikali ya Magufuli wamewapa WB data za uongo zilizopelekea tukapandishwa daraja.
..kwa kweli sikuwahi kulifikiria suala hili ktk angle hiyo.