- Thread starter
- #21
Mkuu unaongelea masuala makubwa kama vile unaongelea habari za kina Haji Manara na Antonio Nugaz.
..uchumi wa kati, ni kweli au siyo kweli?
..umma uliokusanyika kumsikiliza Bernard Membe umetoa majibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaongelea masuala makubwa kama vile unaongelea habari za kina Haji Manara na Antonio Nugaz.
..mimi nilimsikia waziri wa fedha, Dr.Mpango, akitoa taarifa hizo kwenye vyombo vya habari.
..pia bungeni mawaziri na wabunge wa ccm waliendelea kuzishabikia habari hizo.
..hivyo ni kweli taarifa zilitolewa na WB, lakini ccm na serikali wamefanya makosa kuzishabikia kana kwamba zina uhalisia ktk maisha ya waTanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...mbinguni huingiiJokakuu,
Swala la nchi yetu kuingia uchumi wa kati sio tamko la Serikali yetu wala CCM ila ni tamko la World Bank
Hvyo kama una pingamizi, manung'uniko, sikitiko, kisununu, miwasho miwasho, kiraruraru basi wapigie World Bank kwa hii namba +1 202-473-1000
..uchumi wa kati, ni kweli au siyo kweli?
..umma uliokusanyika kumsikiliza Bernard Membe umetoa majibu.
Kama tu za corona zimelifichwa,kipi kinashindikana..Hold on!!
..kwa hiyo inawezekana kabisa serikali ya Magufuli wamewapa WB data za uongo zilizopelekea tukapandishwa daraja.
..kwa kweli sikuwahi kulifikiria suala hili ktk angle hiyo.
pesa ziko kwenye mpesa, ni jpm tu ndio anakaa nazo kwenye boot ya gari..Bernard Membe aliuliza wananchi waliohudhuria mkutano wake kuhusu fedha walizonazo mfukoni.
..Katika wananchi waliohudhuria mkutano ule wa kampeni hakuna aliyekuwa na shilingi elfu 10 mfukoni mwake.
..Wakati huohuo serikali inajigamba kwamba tumepanda daraja na kufikia uchumi wa kati.
..Kwa kweli CCM, Dkt. Magufuli, na Serikali, wako out of touch na hali halisi ya maisha ya Watanzania.
..Propaganda walizokuwa wakieneza zimeanza kuwaathiri hata wao wenyewe.
..Bernard Membe aliuliza wananchi waliohudhuria mkutano wake kuhusu fedha walizonazo mfukoni.
..Katika wananchi waliohudhuria mkutano ule wa kampeni hakuna aliyekuwa na shilingi elfu 10 mfukoni mwake.
..Wakati huohuo serikali inajigamba kwamba tumepanda daraja na kufikia uchumi wa kati.
..Kwa kweli CCM, Dkt. Magufuli, na Serikali, wako out of touch na hali halisi ya maisha ya Watanzania.
..Propaganda walizokuwa wakieneza zimeanza kuwaathiri hata wao wenyewe.
anaweka kwenye boot ili kukwepa kuonekana kwenye mihamala!pesa ziko kwenye mpesa, ni jpm tu ndio anakaa nazo kwenye boot ya gari
Naam so far hao watu ni wengi na ni watanzania basi we are not doing something right...., after all hawa watawala si wapo pale kuhakikisha majority are not left behind ?, au mimi ndio nipo out of touch?Wahudhuriaji wengi wa hayo mambo ndio walivyo, Watu hawawezi kuacha ofisi au biashara Mkuu.
Siku hizi mitandao ya benki na huduma za pesa imeenea...Bernard Membe aliuliza wananchi waliohudhuria mkutano wake kuhusu fedha walizonazo mfukoni.
..Katika wananchi waliohudhuria mkutano ule wa kampeni hakuna aliyekuwa na shilingi elfu 10 mfukoni mwake.
..Wakati huohuo serikali inajigamba kwamba tumepanda daraja na kufikia uchumi wa kati.
..Kwa kweli CCM, Dkt. Magufuli, na Serikali, wako out of touch na hali halisi ya maisha ya Watanzania.
..Propaganda walizokuwa wakieneza zimeanza kuwaathiri hata wao wenyewe.
Wewe unatarajia 'watu wasiotaka kufanya kazi, watu wasiofanya kazi, watu wanaosubiri kipindi cha uchaguzi ndio "wavune", wana siasa uchwara" and the like wapate wapi pesa? Na sio wakati huu tu; 2000 nilibahatika kwenda kufanya uwezeshaji kwenye wilaya tano za Lindi na Mtwara, tulikuwa tukitoa posho ya shilingi 15000/ kwa kila mshiriki na hiyo ni mbali na msosi wa asubuhi na mchana, kwa hali hii, kiongozi mmoja alikuja kwenye mafunzo na mkewe pamoja na vijana wake wawili (kama washirika) - posho hiyo. Ninachosisitiza hapa ni kuwa - hali hii ya "umasikini wa kipato" iko huko siku nyingi hata wakati Membe akiwa Mbunge wao, SIYO KWELI KUWA IMEANZA LEO...Bernard Membe aliuliza wananchi waliohudhuria mkutano wake kuhusu fedha walizonazo mfukoni.
..Katika wananchi waliohudhuria mkutano ule wa kampeni hakuna aliyekuwa na shilingi elfu 10 mfukoni mwake.
..Wakati huohuo serikali inajigamba kwamba tumepanda daraja na kufikia uchumi wa kati.
..Kwa kweli CCM, Dkt. Magufuli, na Serikali, wako out of touch na hali halisi ya maisha ya Watanzania.
..Propaganda walizokuwa wakieneza zimeanza kuwaathiri hata wao wenyewe.
Wewe unatarajia 'watu wasiotaka kufanya kazi, watu wasiofanya kazi, watu wanaosubiri kipindi cha uchaguzi ndio "wavune", wana siasa uchwara" and the like wapate wapi pesa? Na sio wakati huu tu; 2000 nilibahatika kwenda kufanya uwezeshaji kwenye wilaya tano za Lindi na Mtwara, tulikuwa tukitoa posho ya shilingi 15000/ kwa kila mshiriki na hiyo ni mbali na msosi wa asubuhi na mchana, kwa hali hii, kiongozi mmoja alikuja kwenye mafunzo na mkewe pamoja na vijana wake wawili (kama washirika) - posho hiyo. Ninachosisitiza hapa ni kuwa - hali hii ya "umasikini wa kipato" iko huko siku nyingi hata wakati Membe akiwa Mbunge wao, SIYO KWELI KUWA IMEANZA LEO.
Sema Membe alifanya uhuni jana, ameiba comment yangu niliyoiandika humu jf lakini ameshindwa hata kuni acknowledge...Bernard Membe aliuliza wananchi waliohudhuria mkutano wake kuhusu fedha walizonazo mfukoni.
..Katika wananchi waliohudhuria mkutano ule wa kampeni hakuna aliyekuwa na shilingi elfu 10 mfukoni mwake.
..Wakati huohuo serikali inajigamba kwamba tumepanda daraja na kufikia uchumi wa kati.
..Kwa kweli CCM, Dkt. Magufuli, na Serikali, wako out of touch na hali halisi ya maisha ya Watanzania.
..Propaganda walizokuwa wakieneza zimeanza kuwaathiri hata wao wenyewe.
Sema Membe alifanya uhuni jana, ameiba comment yangu niliyoiandika humu jf lakini ameshindwa hata kuni acknowledge.
Ccm na mwenyekiti wao wanapenda kupewa sifa hata wasipostahili...lakini bango lililotia fora ktk kampeni ni lile lililoandikwa, " uchumi wa kati bila ajira ni sifa za kijinga. "
Uliiandika kwenye uzi gani nasi tuone namna alivyo kuibia!Sema Membe alifanya uhuni jana, ameiba comment yangu niliyoiandika humu jf lakini ameshindwa hata kuni acknowledge.