Ni vita ya kwanza mkuu sio vita vya pili.Umewezaje kufungua a/c jf pasipo kujua iyo historia.
Baada ya mkutano wa Berlin Ujerumani alijichukulia tanganyika ikiwamo burundi na rwanda, baada ya vita vya pili vya dunia mjerumani akaporwa makoloni yake. Tanganyika akapewa uingereza kuisimamia, rwanda na burundi wakapewa ubelgiji.
Naomba kupata ufafanuzi wakati wanagawana bara la Afrika nani alipewa Tanganyika, na Muingereza alipewa kututawala ama kutusimamia mpaka tukipata uwezo wa kujisimamia wenyewe ama? Nashindwa elewa hapo, je uhuru tuliupata baada ya mjeruman kunyang'anywa na muingereza akapewa kutusimamia tu ama atutawale?
no!!Tanzania mwingeleza hakuwa mkoloni yeye alikuwa msimamizi hadi tukijielewa
upo sawa kk ila mji wa versailles haupo Indonesia upo franceBerlin conference pale Tanganyika..Rwanda na Burundi alipewa Mjerumani...(German East Africa)...Baada ya vita ya kwanza ya dunia 1918 kumbuka wazungu walikaa pale Indonesia na kusaini mkatab wa amani katik mji wa Versailes na kuamua kumuadhibu mjerumani kwa kuanzisha vita ile..
Adhabu mojawapo ilikuwa ni kumpokonya makoloni yake yote kwahyo na Tanganyika ikiwemo...Lakini makoloni hayo yakawekwa chini ya uangalizi maalum ili baadae yajitawale na Tanganyika ikawekwa chini ya Mwingereza...huo ni mwaka 1919...
Kama sikosei mwaka 1920 ndo jina Tanganyika likaanza kutumika rasmi....mwaka 1926 gavana Donald Cameroon akaanzisha bunge la Tanganyika wakati huo likiitwa LEGCo...Legislative Council...ni historia ndefu...
Hahaaaaa amechanganya madesa,Indonesia walikaa katika bandung conferenceupo sawa kk ila mji wa versailles haupo Indonesia upo france
Unazungumzia vita ya pili au ya kwanza?Asante, kwaiyo kwanini wanatuambia uhuru tumeupata 1961 na sio baada ya vita ya pili ya dunia kuna nini nyuma hapo kinafichwa napatwa na mashaka sana
Versailes ipo Ufararansa mkuu acha kutupiga fixBerlin conference pale Tanganyika..Rwanda na Burundi alipewa Mjerumani...(German East Africa)...Baada ya vita ya kwanza ya dunia 1918 kumbuka wazungu walikaa pale Indonesia na kusaini mkatab wa amani katik mji wa Versailes na kuamua kumuadhibu mjerumani kwa kuanzisha vita ile..
Adhabu mojawapo ilikuwa ni kumpokonya makoloni yake yote kwahyo na Tanganyika ikiwemo...Lakini makoloni hayo yakawekwa chini ya uangalizi maalum ili baadae yajitawale na Tanganyika ikawekwa chini ya Mwingereza...huo ni mwaka 1919...
Kama sikosei mwaka 1920 ndo jina Tanganyika likaanza kutumika rasmi....mwaka 1926 gavana Donald Cameroon akaanzisha bunge la Tanganyika wakati huo likiitwa LEGCo...Legislative Council...ni historia ndefu...
Jmaa bado ana HANGOVER ya Mwaka MpyaHahaaaaa amechanganya madesa,Indonesia walikaa katika bandung conference