Kwenye mkutano wa leo na TFF

Kwenye mkutano wa leo na TFF

Inabidi uwaulize pia kwa nini una gari yako na umelia kodi zote lakini unasimamishwa saa nzima barabarani kusubili mtu mmoja apite kwanza?

Nakukumbusha tu hata malaika mbinguni hawako sawa, na hata wacha Mungu mbinguni hawatakuwa na daraja sawa.

Usitafute usawa dunia unajiumiza nafsi yako bure.
Sawa
 
Kwani ulikuwa mkutano wa TFF na wasemaji wa clubs?
TFF iliitisha mkutano na wanahabari pamoja na vilabu kuhusu tareh 25 kwa hiyo vilabu hupeleka wahusika...hapo manara hakuonekana kama mhusika wa klabu ya yanga...akiwa msemaji kulikoni..,??
Simba ilimtuma kimwaga..kama nafasi yake ktk huo mkutano.
 
Out of topic

Hivi kwa nini hawauzi ticket za VIP A? nini kimetokea, wanasema kuna watu maalum wataalikwa, why? Sisi tunaotaka VIP A na hatujaalikwa inakuwaje
Nikikuwa nitoke Dom hapa kesho mchana ili niwapeleke wajukuu zangu Jumamosi VIP A. Sasa maswala ya kuomba mualiko yanatoka wapi?
Halafu mapato yaliyotangazwa kupatikana Ben Mkapa Stadium si ya kweli.
TFF na Bodi ya Ligi ni makanjanja.
 
Ndugu yangu wamenikatisha tamaa nimeahirisha kwenda nitauangalia kwenye Runinga inatosha, nahisi kuna harufu ya upigaji

Ukiwauliza sababu ya msingi ya kuzuia watu VIP A, watakupa jibu la siasa tu
 
Ndugu yangu wamenikatisha tamaa nimeahirisha kwenda nitauangalia kwenye Runinga inatosha, nahisi kuna harufu ya upigaji

Ukiwauliza sababu ya msingi ya kuzuia watu VIP A, watakupa jibu la siasa tu
Kuna wageni wengi wa heshima wame book VIP A
Nadhani kwa idadi yao nafasi imetosha.
Kumbuka hii ni dabi nzito hapa kwetu Africa.
Washabiki wanatoka hadi nchi za nje za mbali.
Hii mechi inaleta hadi watalii hapa nchini Tanzania.
 
Back
Top Bottom