Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Matatizo mengine wanaume tunatafuta wenyeweKuna watu mke mmoja tu anawachanganya wanaongea peke yao barabarani wengine wanachelewa hawataki kurudi nyumbani
At the same time kuna wengine wana zaidi ya mmoja mwengine wanne kabisa sasa wote wakiwa visirani daah
Ndo maana wanaume tuna life span ndogo
ha ha ha Kila mtu apambane na maisha yakeMatatizo mengine wanaume tunatafuta wenyewe
Wanawake ni liability
Ukiwa nao wengi Unatakiwa Uwe na uwezo wakutatua matatizo kila siku
Maana ugomvi hutakaa uishe kwenye nyumba yako
Kwanza Wanawake hawapendani wenyewe
Sasa wewe unaenda kuleta tatizo jingine
Shaur yenu mtajua wenyewe bhana
Kila mtu apambane na maisha yake
Matatizo mengine wanaume tunatafuta wenyewe
Wanawake ni liability
Ukiwa nao wengi Unatakiwa Uwe na uwezo wakutatua matatizo kila siku
Maana ugomvi hutakaa uishe kwenye nyumba yako
Kwanza Wanawake hawapendani wenyewe
Sasa wewe unaenda kuleta tatizo jingine
Shaur yenu mtajua wenyewe bhana
Kila mtu apambane na maisha yake
Tusidanganyane kuwa wake wenza upendana, hiyo haipo; kila mmoja anatamani amiliki peke yake.
Fafanua mkuu unazid kutuchanganya zaidiiiiNi kosa kubwa kutamani ‘wake zako’ wapendane, na ukiruhusu hilo lifanikiwe basi umekwisha... wajibu wao ni kukupenda wewe na si kupendana wao.
Huwezi kunielewa hapa, sina namna ya kukuelewesha... maisha yafaa nini bila wanawake.?
Fafanua mkuu unazid kutuchanganya zaidiiii
Umesema ukweli kiasi lakini ilo lisikupe shida ata mke mdogo Asipokupenda, kwasababu lengo la ndoa za mke zaidi ya mke 1 ni mwanaume kujitimizia matanio ya mwili wake ili asitende dhambi ya kuzini,Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu. Hawa wengine wako kimaslai tu, ata kama utawatembezea rungu kwa kila staili, wao watalenga maslai au kipato chako tu. Kwa namna nyingine tunaweza sema ni wachunaji tu. Tusidanganyane kuwa wake wenza upendana, hiyo haipo; kila mmoja anatamani amiliki peke yake.
Kama mabaharia tujihadhari na hili janga
Mmeunga hoja ya kupenda vipande vipande.... Baadhi yetu tumekubaliana na Mheshimiwa hakuna namna. Baadhi ya vipande vipo kimaslahi zaidi .... Ni kweli. Tulia Sindano iingie vizuri akili ikae sawa.... Huu Mzani lazima u-balance.....Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu. Hawa wengine wako kimaslai tu, ata kama utawatembezea rungu kwa kila staili, wao watalenga maslai au kipato chako tu. Kwa namna nyingine tunaweza sema ni wachunaji tu. Tusidanganyane kuwa wake wenza upendana, hiyo haipo; kila mmoja anatamani amiliki peke yake.
Kama mabaharia tujihadhari na hili janga