Kwenye offside huwa inaangaliwa nini?

Kwenye offside huwa inaangaliwa nini?

Mchezaji anakuwa 'offiside' pale tu anapopokea pasi ilihali yupo mbele zaidi ya mchezaji wa mwisho wa timu pinzani kuelekea lango la timu pinzani.

Na eneo ambalo sheria ya 'offiside hutumika ni eneo lote la nusu ya timu pinzani.



Endapo mpira umerushwa basi hapo hakuna offiside, kinyume na hapo mpira wowote utaoguswa na mchezaji aliyeotea utahesabiwa ni faulo ya offside...

Ongeza na hii:
Mpira wa GOAL KICK hauna offside
 
Hebu nami niulize swali,
Kama mchezaji amepiga mpira mbele ila kule mbele kuna mchezaji mwenzake ambae yupo offside lakin yule mchezaji alie offside hajagusa ule mpira na yule mchezaji aliepiga mpira amekimbia na kuukuta ule mpira, Je inakuwa offside au anaweza kufunga tu kama amepata nafasi ya kufunga?!!!

Hii haiwezekani ktk soka!
 
Mfano nipo ktk goli la wapinzani, ktk offside position, mpira wa chini ukapigwa na tm mate wng, kuelekea golini, mimi nikatanua miguu, mpira ukanipita tobo, nyavuni!
Je, ntakuwa nimeucheza ama?
 
Back
Top Bottom