johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katika wale Wabunge 19 Wenye mgogoro na Chadema wako waliogombea kwenye Majimbo na walipata kura nyingi tu japo hazikutosha mfano Mdee, Kaboyoka, Bulaya, Jesca, Makamba, Mwaifunga nk na kwa Kanuni jumla ya kura za Wagombea Ubunge majimboni na kura za mgombea Urais ndio huingizwa kwenye formula na kukokotoa Ruzuku
Ndio sababu wakati wa shujaa Magufuli Ruzuku za Chadema na CUF zilikuwa zinapungua kadri Wabunge wa Vyama hivyo wanavyounga Juhudi
Na Hata komredi Polepole alikuwa haangaiki na Wabunge ambao hawakuwahi kugombea kwenye Jimbo
Ni hilo tu mlitazame mnapotafakari msamaha 😂🔥