AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Kwenye huduma za wazi tulizotangaziwaga za air tanzania kimataifa tangu kipindi cha magu ni DAR-CHINA,DAR-INDIA,DAR-URUSI,DAR-DUBAI mimi naona angalau DAR-CHINA wateja wapo wengi na sababu za kwenda na kuja zipo nyingi na pia kwa mbaaali safari ya dar-dubai (na BADO SINA HUAKIKA KAMA BADO HUDUMA ZAKWENA MAENEO HAYO ZIPO)