MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Kwenye hii vita ya Yuda na watu wengine, Sisi tuchochee moto kwenye hoja ya Utanganyika na Zanzibar, tuachane na mambo ya CCM
nonsense 🐒Kwenye hii vita ya Yuda na watu wengine, Sisi tuchochee moto kwenye hoja ya Utanganyika na Zanzibar, tuachane na mambo ya CCM
Sense ni ipi gentleman?nonsense 🐒
Let us FIGHT for TanganyikaKwenye hii vita ya Yuda na watu wengine, Sisi tuchochee moto kwenye hoja ya Utanganyika na Zanzibar, tuachane na mambo ya CCM
CCM ndio tatizo la watanzania hatuwezi kuacha hiki chama kiendelee kutesa watu, lazima kiuwawe mapema.Kwenye hii vita ya Yuda na watu wengine, Sisi tuchochee moto kwenye hoja ya Utanganyika na Zanzibar, tuachane na mambo ya CCM
Muungano wa unyonyaji a.k.a chawa wa ufukweni!Kwenye hii vita ya Yuda na watu wengine, Sisi tuchochee moto kwenye hoja ya Utanganyika na Zanzibar, tuachane na mambo ya CCM
Tunajua sasa hivi tunapita na MuunganoWameona mmepoa sana, wagombanishwe top manyota ili mpate kuchangamka vijiweni😀