Kwenye saklata la Yuda, tuchochee moto kwenye Muungano

Muungano wa zanzibar na tanganyika is there for life!!
 
Kwenye hii vita ya Yuda na watu wengine, Sisi tuchochee moto kwenye hoja ya Utanganyika na Zanzibar, tuachane na mambo ya CCM
CCM ndio tatizo la watanzania hatuwezi kuacha hiki chama kiendelee kutesa watu, lazima kiuwawe mapema.
 
Kwenye hii vita ya Yuda na watu wengine, Sisi tuchochee moto kwenye hoja ya Utanganyika na Zanzibar, tuachane na mambo ya CCM
Muungano wa unyonyaji a.k.a chawa wa ufukweni!
 
Wameona mmepoa sana, wagombanishwe top manyota ili mpate kuchangamka vijiweni😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…