nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
namba kujua kama hich kitu kinaweza kua na Tija, yani mteja akiwa anakuja kunyoa namwambia aongeze jero kama charge ya network, naomba mnirekebishe hapa kabla sijaharibu pesa je nifanye vip ili nipate pesa kupitia free WiFi salon ya kiume, maana nina wateja wengi salon iko uswahili wateja wengi wana matambo asanteni wakuu