nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Sawa mkuu, je hawa wa nje kibench nitoze bei gani? AsanteFanya uwe mpango wamuda mrefu Wi-fi wauzie watu wakaribu yako, kuhusu bei jumlisha kwenye bei yakunyolea, mteja kama mtoto mwambie unapata na free internet yabure
Kuna wengine hawahitaji kunyoa wawekew kibench nje hapo
SawaWateja wa kunyoa wengi utapoteza utabaki na kijiwe cha internet
nimeiona sana tabora hii kombinenga ya saloon na library inazingua kiukwelKuwa na tambo haimaanishi ataperuzi akiwa hapo salon,
Kunae hii, salon kunaeekwa 🖥️ ya kurusha na na kuban movie, inakua kero hatarii, salon inakua km kijiwe, khaaah
It won't make sensenamba kujua kama hich kitu kinaweza kua na Tija, yani mteja akiwa anakuja kunyoa namwambia aongeze jero kama charge ya network, naomba mnirekebishe hapa kabla sijaharibu pesa je nifanye vip ili nipate pesa kupitia free WiFi salon ya kiume, maana nina wateja wengi salon iko uswahili wateja wengi wana matambo asanteni wakuu
BukuSawa mkuu, je hawa wa nje kibench nitoze bei gani? Asante
Sasa mkuu mteja atatumiaje WiFi wakati ananyolewa?namba kujua kama hich kitu kinaweza kua na Tija, yani mteja akiwa anakuja kunyoa namwambia aongeze jero kama charge ya network, naomba mnirekebishe hapa kabla sijaharibu pesa je nifanye vip ili nipate pesa kupitia free WiFi salon ya kiume, maana nina wateja wengi salon iko uswahili wateja wengi wana matambo asanteni wakuu
Jero kwa Saa 1Buku
Kama ni ya Ttcl hata akifanya buku siku nzima si mbayaJero kwa Saa 1
TTCL ni shilingi ngapi kwa mwezi?Kama ni ya Ttcl hata akifanya buku siku nzima si mbaya
Elfu 50TTCL ni shilingi ngapi kwa mwezi?
Tushavuka huko kipindi internet cafe ziko nyingi mjini, jero kwa saa si bora aweke bundle, weka Wi-fi kwenye biashara yako kama sehemu ya hamasa kwa wateja.Jero kwa Saa 1
Kwa ISSA mbeya au veta shule ya ikuluKuwa na tambo haimaanishi ataperuzi akiwa hapo salon,
Kunae hii, salon kunaeekwa 🖥️ ya kurusha na na kuban movie, inakua kero hatarii, salon inakua km kijiwe, khaaah
Ni mikoa mingi kunae hii tabia, inakera mnoo.nimeiona sana tabora hii kombinenga ya saloon na library inazingua kiukwel