Carbon 4real
Member
- Mar 8, 2025
- 7
- 10
Kama ni mfuatiliaji wa series za mablack america basi lazima utakuwa unaifaham series ya power ambayo ilifanya vizuri sana kwenye soko la filam kutokana na stori yake ilivyo na uhusika wa waigizaji kwenye ile series.
Kifo cha bwana Ghost kama mhusika mkuu kiliacha majonzi sana kwa watazamaji na kuacha maswali mengi kuwa inawezekanaje mtu aliyekwepa mishale mingi sana aje kuuliwa na mtoto wake? Ghost ndo alikuwa mtu mwenye akili sana kwenye series iweje auliwe kirahisi?
Kumbe shida ilianzia kwenye management ya ile series jamaa ambaye ndo anafahamika kama ghost kwenye series hakuwa anapewa maokoto ya kutosha.
Alikuwa anaingiza $150K kwenye kila episode ila jamaa akaona haitoshi akataka iongezwe kutokana na heshima na nafasi yake kwenye series jamaa akawa mtata, management ikaona sio kesi wakampiga chini, Project ilikuwa jamaa hadi aje awe raisi wa marekani ila walivyoona jamaa anazidi kuwa mtata anataka maokoto yaongezwe management ikampiga chini ikabid apoteze maisha kwenye series.