Nashangaa sana na watanzania wanaosema wamemuachia Mungu atutetee.
Jamani, kweli Mungu anaweza kumtetea watu mwenye akili timamu, mikono miwili na miguu miwili, halafu wanakaa tu bila kufanya kitu?
Wengine wanajificha kwenye kivuli cha unyonge, lakini unyonge gani huo kama tuna akili na uwezo wa kufikiri? Mnyonge wa kweli ni kipofu au mtu asiyejiweza kabisa sio sisi ambao tuna uwezo wa kupanga na kutekeleza .
Kwenye mapambano haya , tuusimuachie Mungu jambo ambalo tunaweza kulifanya wenyewe. Hasa mambo yanayohitaji kufikiri, tujipange kisawa sawa na tuchukuwe hatua.
Kama CCM waametushinda leo, tukae chini, tutafute plan B, mpango mpya, alafu tupiganie uhuru wetu.
Mungu atabariki mipango yatu kama haki ipo upande wetu