Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Anguko la Simba lilianzia kwa huyo dada labda kama huelewi mambo, na kijuuzulu alikimbia aibu ya kutoka patupu kwa msimu wa pili,.Simba ya try again imekuwa paka.
We simba mnatangaza jersey saa 6 usiku kama mnafanya zindiko.
Simba wamrudishe Gonzales yule dada alikua kichwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app