Robidinyo JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 4,043 Reaction score 8,686 Jun 6, 2023 #21 edwayne said: Simba ya try again imekuwa paka. We simba mnatangaza jersey saa 6 usiku kama mnafanya zindiko. Simba wamrudishe Gonzales yule dada alikua kichwa sana Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Anguko la Simba lilianzia kwa huyo dada labda kama huelewi mambo, na kijuuzulu alikimbia aibu ya kutoka patupu kwa msimu wa pili,.
edwayne said: Simba ya try again imekuwa paka. We simba mnatangaza jersey saa 6 usiku kama mnafanya zindiko. Simba wamrudishe Gonzales yule dada alikua kichwa sana Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Anguko la Simba lilianzia kwa huyo dada labda kama huelewi mambo, na kijuuzulu alikimbia aibu ya kutoka patupu kwa msimu wa pili,.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Jun 6, 2023 #22 edwayne said: Simba ya try again imekuwa paka. We simba mnatangaza jersey saa 6 usiku kama mnafanya zindiko. Simba wamrudishe Gonzales yule dada alikua kichwa sana Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyo dada ndio kaiua Simba mpaka haijiwezi Tena.
edwayne said: Simba ya try again imekuwa paka. We simba mnatangaza jersey saa 6 usiku kama mnafanya zindiko. Simba wamrudishe Gonzales yule dada alikua kichwa sana Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyo dada ndio kaiua Simba mpaka haijiwezi Tena.
edwayne JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 8,919 Reaction score 9,797 Jun 6, 2023 #23 econonist said: Huyo dada ndio kaiua Simba mpaka haijiwezi Tena. Click to expand... wewe utakuwa mnufaika wa ufisadi wa simba huu msimu
econonist said: Huyo dada ndio kaiua Simba mpaka haijiwezi Tena. Click to expand... wewe utakuwa mnufaika wa ufisadi wa simba huu msimu
I Izai Senior Member Joined Nov 6, 2022 Posts 178 Reaction score 207 Jun 6, 2023 #24 Na yanga wanaoponda simba kils siku inakuwaje