Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Una mwamba kwa kusifia tu uko vizuri,unasifia Hadi mtu unahisi unaangalia video. Unasifia Kama yule jamaa wa Jambo na vijambo. [emoji119]

Ila watanga hapana,kitendo Cha kwenda bafuni kisosi Cha chai na kigoda ili ukioga ukae na makende yasiguse chini ila yamwagikie kwenye kisosi,nimewavulia kofia.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Broh, baada ya show, dushe linafanyiwa massage. Hata kama hukuwa na mpango wa kuendeleza game, unajikuta unaendelea tu 😅😅.

Imagine after sex unaambiwa pole. Sometime unabebwa, au unaimbiwa nyimbo 🤔
 
Seriously nilikuwa nasoma expecting useme mwishowe umemuoa,
mmeishi miaka mingapi hampoi hamboi,
Penzi la kitanga shatashata kama jipya kumbe mmeishi miaka,
kumbe baada ya kufanyiwa yooote hayo mwisho wake ni kubadilisha makabila 😂,

Me ngoja nikamate NSENENE nikauze
View attachment 2500426
Mahusiano kadhaa hayakufanikiwa kudumu. Ila huyu niliyenae sasa, tuna mwaka wa nne sasa, mambo still ni moto kama ndio tunaanza. Hatujaoana bado
 
Nimesoma hapa nkaanza kucheka...ni kawahida yao kufanya hivo ili aiteke akili yako ili usifurukute na akuendeshe ilo ndo lengo..na kama ajakupata kwenye vitendo vyake basi limbwata linafatia
Sina uhakika kuhusu limbwata, na sijawahi fanyiwa limbwata. Ukishazoea mapenzi ya kibabe, ukikutana na mahaba ya kitanga, utahisi wanataka kukuibia, kumbe ndivyo walivyo.
 
Back
Top Bottom