Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Broh, baada ya show, dushe linafanyiwa massage. Hata kama hukuwa na mpango wa kuendeleza game, unajikuta unaendelea tu πŸ˜…πŸ˜….

Imagine after sex unaambiwa pole. Sometime unabebwa, au unaimbiwa nyimbo πŸ€”
 
Mahusiano kadhaa hayakufanikiwa kudumu. Ila huyu niliyenae sasa, tuna mwaka wa nne sasa, mambo still ni moto kama ndio tunaanza. Hatujaoana bado
 
Nimesoma hapa nkaanza kucheka...ni kawahida yao kufanya hivo ili aiteke akili yako ili usifurukute na akuendeshe ilo ndo lengo..na kama ajakupata kwenye vitendo vyake basi limbwata linafatia
Sina uhakika kuhusu limbwata, na sijawahi fanyiwa limbwata. Ukishazoea mapenzi ya kibabe, ukikutana na mahaba ya kitanga, utahisi wanataka kukuibia, kumbe ndivyo walivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…