Kwenye swala la ajira ukweli niseme ameupiga mwingi.

Kwenye swala la ajira ukweli niseme ameupiga mwingi.

Nevergive up

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
600
Reaction score
945
Wakuu Mimi siyo mtu wa siasa na Sina chama .ukweli niseme Kila mtu na mapungufu yake lakini tukiacha siasa pembeni, huyu mama kwenye swala la ajira kaupiga mwingi sana yan kaajiri watu wengi sana tokea nchi inapata uhuru haijawahi tokea.
 
Wakuu Mimi siyo mtu wa siasa na Sina chama .ukweli niseme Kila mtu na mapungufu yake lakini tukiacha siasa pembeni, huyu mama kwenye swala la ajira kaupiga mwingi sana yan kaajiri watu wengi sana tokea nchi inapata uhuru.
Tena chini ya Uongozi wake hata watz wasio na magodfather wameweza kupata ajira kwenye taasisi nyeti zilizokuwa zinasifika kwa ukabila na undugunization.
Japo changamoto za kimifumo bado zipo kama wavaa kobasi wa visiwani kupata ajira kwenye Maeneo ambayo hawastahili lakini Mama Abdul Afidh Ameir amejitahidi sana
 
  1. Physics is not merely an empirical catalog of material phenomena; it is the systematic deciphering of the invariant ontological constraints governing the cosmos
 
Naunga mkoni, kuna washikaji walikata tamaa ya kuajiriwa ila sasa wapo kwenye ajira rasmi
 
Back
Top Bottom