Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 600
- 945
Tena chini ya Uongozi wake hata watz wasio na magodfather wameweza kupata ajira kwenye taasisi nyeti zilizokuwa zinasifika kwa ukabila na undugunization.Wakuu Mimi siyo mtu wa siasa na Sina chama .ukweli niseme Kila mtu na mapungufu yake lakini tukiacha siasa pembeni, huyu mama kwenye swala la ajira kaupiga mwingi sana yan kaajiri watu wengi sana tokea nchi inapata uhuru.