Kwenye Upande wa matengenezo: Nini cha kuzingatia kabla na ukiwa kwenye safari ndefu

Mimi nilitumia mafuta ya 70,000/= kutoka uyole mpaka dom kwenye IST Lita ilikuwa 2300.
 
Amina mkuu nashukuru sana
 
Okay pamoja sana mkuu
Vipi Mkuu ulishafika? na Gari bado unayo au umeiuza HUJATUPA MREJESHO
katika vitu vyote Carina TI zinatumia engine ya 5A FE cc1498 injection, na ndani huwepo Timing Belt angali km Mileage imefika 100,000 badili jamaa yangu km unapenda safari ndefu, km unaweza unaweza kuwa nayo akiba unaificha kwenye boot. huwa ikikatika ni lazima ufungue cover na km porini ni lazima ivutwe au umuite mtaalam, Belt zote ni muhimu ya Altenator, stealing power. maji na hiyo ya ndani
Mimi ilishawahi kunikatikia Kiyegeya baada ya Gairo na miaka mingine Mdaula
 

5A-FE ni non-interference engine sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5A-FE ni non-interference engine sio?
Ni kweli Mkuu sikupata damage ya aina yoyote ilikuwa ni kubadili tu Belt na huwa natembea nayo ya akiba
kwa faida ya wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…