Vipi Mkuu ulishafika? na Gari bado unayo au umeiuza HUJATUPA MREJESHO
katika vitu vyote Carina TI zinatumia engine ya 5A FE cc1498 injection, na ndani huwepo Timing Belt angali km Mileage imefika 100,000 badili jamaa yangu km unapenda safari ndefu, km unaweza unaweza kuwa nayo akiba unaificha kwenye boot. huwa ikikatika ni lazima ufungue cover na km porini ni lazima ivutwe au umuite mtaalam, Belt zote ni muhimu ya Altenator, stealing power. maji na hiyo ya ndani
Mimi ilishawahi kunikatikia Kiyegeya baada ya Gairo na miaka mingine Mdaula