Kwenye Utawala wa awamu ya 5, Viongozi wa Chadema walikamatwa, walitekwa, walifungwa jela, walipotezwa, walijeruhiwa na wengine waliuawa

Aisee kile kipindi Mungu tu ndio alisimama na Watumishi Wake
 
Hilo uliloandika limeongeza wigo halijamtoa jiwe kwenye uhusika
Mkuu usijitoe ufahamu. Najua unaifahamu fika nguvu ya jiwe katika kuamua mambo. Samia na wenzie walikuwa pale wakiwa ceremonial tu, asiweze kukosoa wala kushauri kwachochote alichokiamua bwana yule. Yeye mwenyewe aliweka wazi kuwa hashauriki, na ukimshauri ndo umeharibu kabisa.

Alichokifanya alitafuta kikosi cha majambazi wenzie wachache ndo akaanza kuwatumia kutekeleza ukatili wake huku wengine wakitulia na kushuhudia show inavyokwenda, bila kukosoa kwa hofu ya kufikiwa. Wa kujikomba zaidi walifikia hadi hatua ya kupongeza ule ushetani uliokuwa ukiendelea.

Lakini naamini pamoja na mapungufu kibao kule ccm, ni mashetani wachache walipendezwa na hali ile. Ndo maana pamoja na kuwa safu nzima ilibaki, lakini huo upuuzi ulipungua sana kama si kukoma.

Awamu ya mama ina mapungufu makubwa, hatupendezwi nayo hata kidogo, lakini at least katika hili mabadiliko ya ghafla yalionekana. Kwa sasa at least tunaweza hata kuikosoa serikali na tukabaki salama. Kipindi kile hata kuandika huku tu kwenye ID fake ilikuwa ni unaandika huku ukimwombea Maxence Melo ashinde balaa atakaloletewa kesho kwa comment yako, na zaidi maji yasimzidie unga akaweka taarifa zako hadharani.
 
Ungelijua hilo ungeunga mkono.....ila kwa kuwa sio msafi kamwe hutoitaka
Niunge mkono hoja za Machadema ambao wanataka watumie mwanya huo kwenda kujineemesha Kwa Vyeo kisha waanze kutulingia majumba kama yule Jacob aliyeiba pesa Alipokuwa meya katakayosha kwenye mayai anajifanya kajengea Gorofa mayai si ndio? 😁😁
 
Hata Melo alikuwa na Case.......maskini unamuonea Huruma kwani Melo alikuwa na kosa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…