Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Kwa ile miswada mibovu ?Amesharuhusu kuanza mchakato na time huru ya uchaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ile miswada mibovu ?Amesharuhusu kuanza mchakato na time huru ya uchaguzi
Katiba MpyaWay forward?
Katiba Mpya sio Mali ya Chadema Bali wananchiKwa ile miswada mibovu ?
Wananchi walishahojiwa na Tume ya WariobaKatiba Mpya sio Mali ya Chadema Bali wananchi
Aisee kile kipindi Mungu tu ndio alisimama na Watumishi WakeTunaendelea na nyuzi zetu za mwezi huu wa 3, ambao ni Mwezi wa Mungu.
Kwenye utawala wa Awamu ya 5, ulioongozwa na Dkt. John Magufuli, Karibu viongozi wote wa Chadema wa ngazi zote walitekwa, walikamatwa, walijeruhiwa, waliuawa na walirundikwa selo ama walifungwa jela, kwa kesi za uongo ili kuwakomoa.
Wanaouliza kwanini tunayaleta haya leo , jibu lake ni hili , ni kwa sababu hatutaki uchafu huu urudiwe tena kwenye Nchi yetu nzuri, Never and Never again.
Alphonce Mawazo alikuwa kiongozi wa mwanzo kabisa kuuliwa baada ya awamu ya 5 kutwaa madaraka, huyu alipigwa mashoka kuliko hata yale wanayopigwa ng'ombe wa nyama machinjioni.
View attachment 2936409
Alphonce Mawazo ni miongoni mwa watu walioua CCM Kanda ya Ziwa, hii ndio sababu kubwa ya kuuawa kwake , serikali ya Jiwe ikazuia mazishi yake kwa siku kadhaa , yaani wamemuua lakini hawataki azikwe , Mawazo anaingia kwenye historia ya Taifa kuwa mwanasiasa wa kwanza kuzikwa kwa Hati ya Mahakama .
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema kwamba anayekula nyama ya mtu haachi, hakika ndivyo ilivyokuwa, baada ya Mawazo mambo ya kukamata viongozi wa Chadema yakashika kasi, Godbless Lema akakamatwa na kupewa kesi na kisha kunyimwa dhamana kwa tuhuma za kutoa unabii hadharani , hata hivyo unabii huo ulikuja kutimia bila hata kupunja .
View attachment 2936423View attachment 2936426
Kama haitoshi viongozi wa Chadema wakaanza kuwindwa na kukamatwa kama kuku wa Pasaka, Tundu Lissu akapigwa risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua, ikaelekezwa azikwe haraka na hotuba ya kusomwa kwenye mazishi yake ikaandaliwa.
Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu akakamatwa na kufungwa jela kwa kesi ya uongo, Hakimu aliyemfunga jela Michael Mteite akapandishwa cheo.
View attachment 2936433View attachment 2936434
Viongozi wote wa Chadema Tunduma walikamatwa akiwemo Meya wa Mji huo Ally Mwafongo na kupewa kesi ya uzushi ya mauaji, yaani viongozi 57 wote wanadaiwa kuua mtu mmoja tu wa CCM haya ndio mambo ya awamu ya 5.
Mdude akatekwa na kuteswa nusu ya kufa, shukrani ziwaendee Wazungu walioingilia kati hadi akapatikana.
Karibu viongozi wote wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Freeman Mbowe walikamatwa na kuswekwa gerezani kwa tuhuma za uongo za kusababisha mauaji ya Akwilina, Ambaye alipigwa risasi na Polisi chini ya Lazaro Mambosasa aliyekuwa RPC, viongozi wa Chadema wakahukumiwa kifungo au kulipa faini ya Mamilioni ya hela za kitanzania, unaweza kushangaa walioua ni Polisi, lakini waliohukumiwa ni Chadema!
Hivyo ndivyo Hakimu Thomas Simba alivyoona, Shukrani sana kwa Watanzania walioamua kuchanga fedha zao ili viongozi hao wa Chadema wasiozee jela
Wanachadema waliopotea, kuteswa na kufungwa ni wengi, akiwemo Bernard Saa Nane ambaye hadi leo hajulikani aliko
Nitasema kweli Daima fitina kwangu mwiko
Ungelijua hilo ungeunga mkono.....ila kwa kuwa sio msafi kamwe hutoitakaKatiba Mpya sio Mali ya Chadema Bali wananchi
Ile furushi ya warioba ni outdated na Ina mambo mengi ya kubadilishaWananchi walishahojiwa na Tume ya Warioba
Kazi ilishaisha wazalendo fake ndio wanapiga changa chenga tu.Wananchi walishahojiwa na Tume ya Warioba
Mkuu usijitoe ufahamu. Najua unaifahamu fika nguvu ya jiwe katika kuamua mambo. Samia na wenzie walikuwa pale wakiwa ceremonial tu, asiweze kukosoa wala kushauri kwachochote alichokiamua bwana yule. Yeye mwenyewe aliweka wazi kuwa hashauriki, na ukimshauri ndo umeharibu kabisa.Hilo uliloandika limeongeza wigo halijamtoa jiwe kwenye uhusika
Hahaaaa.....ni haki yako kuita Furushi Kazi iliyofanywa na Majaji waliobobeaIle furushi ya warioba ni outdated na Ina mambo mengi ya kubadilisha
hakuna hicho kitu , katiba ya 1977 na maoni ya Warioba kipi bora ?Ile furushi ya warioba ni outdated na Ina mambo mengi ya kubadilisha
Niunge mkono hoja za Machadema ambao wanataka watumie mwanya huo kwenda kujineemesha Kwa Vyeo kisha waanze kutulingia majumba kama yule Jacob aliyeiba pesa Alipokuwa meya katakayosha kwenye mayai anajifanya kajengea Gorofa mayai si ndio? 😁😁Ungelijua hilo ungeunga mkono.....ila kwa kuwa sio msafi kamwe hutoitaka
Hatutaki makosa tenahakuna hicho kitu , katiba ya 1977 na maoni ya Warioba kipi bora ?
Hata Melo alikuwa na Case.......maskini unamuonea Huruma kwani Melo alikuwa na kosa gani?Awamu ya mama ina mapungufu makubwa, hatupendezwi nayo hata kidogo, lakini at least katika hili mabadiliko ya ghafla yalionekana. Kwa sasa at least tunaweza hata kuikosoa serikali na tukabaki salama. Kipindi kile hata kuandika huku tu kwenye ID fake ilikuwa ni unaandika huku ukimwombea @Maxence Melo ashinde balaa atakaloletewa kesho kwa comment yako, na zaidi maji yasimzidie unga akaweka taarifa zako hadharani.
We jamaaJIWE aliwatia sana
Nampongeza sana
Awamu ya tano wewe na yule wa kujiita Stroke mlisherehekea ukatili kila siku humu. Awamu hii imekutengeni mnaisoma namba tu. Naona tukilalamikia tabu zinazosababishwa na serikali tupo pamoja nanyi sasa. Adabu itawakaa.Mada ndio hiyo awamu ya tano mbowe alivunjika mguu akiwa kwa kimada kalewa chakari!
Chadema ni MagaidiWe jamaa
Wananchi wakiitaka wataidai tu......Katiba Mpya