Kwenye Utawala wa awamu ya 5, Viongozi wa Chadema walikamatwa, walitekwa, walifungwa jela, walipotezwa, walijeruhiwa na wengine waliuawa

Safi..👏👏👏👏👏
 
Hilo uliloandika limeongeza wigo halijamtoa jiwe kwenye uhusika
Ukumbuke pia hapa sio Mahakamani.

Narudia, ukiwa unatuhumu Serikali wakati wa Utawala wake J.P.M... Msisahahu kuwaweka Wahusika wote. Zaidi ya hapo hizi kampeni zenu, kwa jicho la kisheria, kama ilovyokuwa kwa Cyprian Musiba ni Defamation.

Magulification will go on, no doubt.

CHADEMA hamna kesi, this is slandering

Ngoja nikumbushe tu na hili chini.
Viongozi wa jf ni ajabu kubwa mno kuuacha uzi wa uongo na uchochezi wa kiwango cha kutisha namna hii .
 
Tupe tafsiri ya tusi tafadhali la sivyo tutakuona punguani tena takataka. Vile vile utupe na mfano wa matusi Lissu aliyotukana pamoja na Mdude. Ukishindwa tutakuona wewe ni takataka tu
Matusi ya Mdude_Nyagali alitamka pale Tabata Baracuda mwezi Juni mwaka 2021 alipotoka gerezani kwa msukumo wa Samia.

Lissu alisema maamuzi ya Rais Samia ni akili au matope baada ya mkataba wa DP WORLD mwaka 2023 Agosti
 
Kwamba Mbowe alifungwa awamu ya Tano ?

No wonder watu wanadhani mmekula mlungula ili mgeuke kuwa Propagandists wa Samia...
 
Ilikuwa usanii tu,waliojiteka walijiteka,waliokunywa konyagi wakaanguka kwenye ngazi wakasema wamepigwa, Mwenyekiti wa Chadema Temeke,ndugu Yona alisema alitekwa na Chadema,Dr Slaa,Katibu Mkuu wa Chadema akasema walinzi wake walimwambia wao ndio walimteka Yona,hao Chadema wakaita waandishi wa habari wakalaumu usalama wa Taifa ndio wanateka,ilikuwa ni usanii tu kutafuta kiki.
 
Kwenye utekaji, dhalimu magu hasafishiki.
 
Kwamba Mbowe alifungwa awamu ya Tano ?

No wonder watu wanadhani mmekula mlungula ili mgeuke kuwa Propagandists wa Samia...
Nani aliaema hayo unayoandika ? usichangie kama hujaelewa
 
Ukipinga uzi wangu huu utashangaliwa hadi na vichaa ,kama tunaandika uongo weka ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…