Kwenye Utawala wa awamu ya 5, Viongozi wa Chadema walikamatwa, walitekwa, walifungwa jela, walipotezwa, walijeruhiwa na wengine waliuawa

🤣 🤣 🤣
 
🤔🤔🙄
 
Hapo mwisho hapo

Chadema ndio vibaraka wa wezi wa mali za umma

Akiongozwa na Mbombo ngafu Makelele wa Ubeljiji
Mkuu labda kama una maanisha kina Sumaye, Katambi, Waitara, C19 wote, silinde, Mkumbo, Nasari, Lijualikali, na kadhalika. Hao wanaweza kuwa ni wezi na vibaka!
 
Tuhuma zako ni duni
 
..Samia na Husseni wanapaswa kuunda TUME za Uchunguzi ili kupata ukweli wa yaliyotokea ktk awamu ya 5 na kabla ya hapo.

..Maridhiano yanapaswa kutambua dhuluma aliyotendeka, nani walihusika, na wahanga kuombwa radhi na kulipwa fidia.
📝🆒🔊👍👌👊👏🤝🙏🗼💐
 
Haya mambo yasitokee tena kwenye nchi ya waliostaarabika
 
Mawazo alishambuliwa wakati wa utawala wa JK awamu ya nne acha upotoshaji sijui unapata kitu gani.

Je sasa watu hawatekwi na kupotezwi au unajitoa ufahamu kwa chuki zako na wenzio dhidi ya JPM?

Tazama hautapata mafanikio yoyote kisiasi kama wewe na kikundi chako cha kiharifu mtaendelea kutapika ubaya wa mtu mwingine hasa JPM, hamtapata kuaminiwa tena labda muombe radhi na kufuta kauli zako unazotumwa na baadhi ya viongozi walioko madarakani wenye chuki na JPM.

Unapoteza muda wako bure bila kubadilisha chochote kile kuhusu utendaji bora wa JPM wakati wake kwa manufaa ya wananchi wema ambao ni wengi.
 
Usilie kuna nyuzi 17 chungu zinakuja , Alphonce Mawazo aliuawa tarehe ngapi ? utajua hujui
 
Watesaji na majambazi wakawa anaaongezwa vyeo. Sijui Mabilioni mangapi walilipwa.
 
Tumshukuru Allah kwa 'kutuondelea' ile awamu ya wauaji!
Ila damu walizomwaga zitaandamana na kuwatesa maisha yao yote na jehenam inawasubiri!
 
Ila damu ya binadamu kama wewe haikumwagika kisa tofauti za kiitikadi,wapi Mr.Saanane?hivi wewe pumbavu hua unaifikiria familia yake?,watoto wake?au wewe ni shoga huna watoto nini?
Unajifanya una uchungu haya tangulia mlango wa leba ule nakuja kukudhalisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…