Kwenye Utawala wa awamu ya 5, Viongozi wa Chadema walikamatwa, walitekwa, walifungwa jela, walipotezwa, walijeruhiwa na wengine waliuawa

CCM na utawala wake wa kishetani hizi damu za watu walizomwaga zitawatokea puani vizazi na vizzazi. Mungu hadhihakiwi.
 
Dah!Sasa nimeamini juu ya ukweli kwamba "UKWELI UNAPENDA NA NI TABIA YAKE KUKAA SEHEMU ILIYO WAZI UPUNGE UPEPO HUKU UNAWASUTA WATU MADHALIMU"!
NB;Kabendera ni vema uendelee kuchochea kuni hadi waimbe wimbo wa "Air pambamoto" huku wanalia kwa kwikwi.
 
Dah!Sasa nimeamini juu ya ukweli kwamba "UKWELI UNAPENDA NA NI TABIA YAKE KUKAA SEHEMU ILIYO WAZI UPUNGE UPEPO HUKU UNAWASUTA WATU MADHALIMU"!
NB;Kabendera ni vema uendelee kuchochea kuni hadi waimbe wimbo wa "Air pambamoto" huku wanalia kwa kwikwi.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Nafikiri wewe una ujinga wa aina fulani ndio maana CDM mnasambaratishana na kuaibishana hadharani bila staha.

1. Alphonce Mawazo aliuwawa tarehe 14.11.2015
2. John Pombe Joseph Magufuli aliapishwa tarehe 5.11.2015

Kwa akili zako mtu kaingia ofisini ana siku 9 aagize kuawawa Alphonce Mawazo tena wanatoka mkoa mmoja badala ya kuelekeza lawama zako kwa Musukuma aliyekuwa anashindana naye?

Please refrain from accusing and staining the late JPM otherwise karma will persist in devouring your political career until you denounce these rubbishes.
 
Simba na Yanga wanacheza lini

Ebu tuache izo mambo marehemu asemwi vibaya bana
Tujipe kaz zingne hizi za magu tuachane nazo kwa sasas
Kila mtu anaweza kuua ama kuteka ni suala la maslai tu na heshima huwa haiombwi inachukuliwa kwa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…