Hapo umemtukana mama yako mzazi,labda ulienda kumzalisha wakati anakuzaaUnajifanya una uchungu haya tangulia mlango wa leba ule nakuja kukudhalisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umemtukana mama yako mzazi,labda ulienda kumzalisha wakati anakuzaaUnajifanya una uchungu haya tangulia mlango wa leba ule nakuja kukudhalisha!
Alishamiliza uchungu sasa ni zamu yako haya panda kitandani!Hapo umemtukana mama yako mzazi,labda ulienda kumzalisha wakati anakuzaa
Usisahau na ile Hotel ya kebys raisi wa awamu ya 5 aliyomjengea kimada wake aitwaye KABULAUsisahau na mwenyekiti kuvunjika mguu kwa kimada awamu ya tano!
😆😆😆😆😆Usisahau na ile Hotel ya kebys raisi wa awamu ya 5 aliyomjengea kimada wake aitwaye KABULA
CCM na utawala wake wa kishetani hizi damu za watu walizomwaga zitawatokea puani vizazi na vizzazi. Mungu hadhihakiwi.Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi huu wa 3, ambao ni Mwezi wa Mungu.
Kwenye utawala wa Awamu ya 5, ulioongozwa na Dkt. John Magufuli, Karibu viongozi wote wa Chadema wa ngazi zote walitekwa, walikamatwa, walijeruhiwa, waliuawa na walirundikwa selo ama walifungwa jela, kwa kesi za uongo ili kuwakomoa.
Wanaouliza kwanini tunayaleta haya leo , jibu lake ni hili , ni kwa sababu hatutaki uchafu huu urudiwe tena kwenye Nchi yetu nzuri, Never and Never again.
Alphonce Mawazo alikuwa kiongozi wa mwanzo kabisa kuuliwa baada ya awamu ya 5 kutwaa madaraka, huyu alipigwa mashoka kuliko hata yale wanayopigwa ng'ombe wa nyama machinjioni.
View attachment 2936409
Alphonce Mawazo ni miongoni mwa watu walioua CCM Kanda ya Ziwa, hii ndio sababu kubwa ya kuuawa kwake , serikali ya Jiwe ikazuia mazishi yake kwa siku kadhaa , yaani wamemuua lakini hawataki azikwe , Mawazo anaingia kwenye historia ya Taifa kuwa mwanasiasa wa kwanza kuzikwa kwa Hati ya Mahakama .
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema kwamba anayekula nyama ya mtu haachi, hakika ndivyo ilivyokuwa, baada ya Mawazo mambo ya kukamata viongozi wa Chadema yakashika kasi, Godbless Lema akakamatwa na kupewa kesi na kisha kunyimwa dhamana kwa tuhuma za kutoa unabii hadharani , hata hivyo unabii huo ulikuja kutimia bila hata kupunja .
View attachment 2936423View attachment 2936426
Kama haitoshi viongozi wa Chadema wakaanza kuwindwa na kukamatwa kama kuku wa Pasaka, Tundu Lissu akapigwa risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua, ikaelekezwa azikwe haraka na hotuba ya kusomwa kwenye mazishi yake ikaandaliwa.
Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu akakamatwa na kufungwa jela kwa kesi ya uongo, Hakimu aliyemfunga jela Michael Mteite akapandishwa cheo.
View attachment 2936433View attachment 2936434
Viongozi wote wa Chadema Tunduma walikamatwa akiwemo Meya wa Mji huo Ally Mwafongo na kupewa kesi ya uzushi ya mauaji, yaani viongozi 57 wote wanadaiwa kuua mtu mmoja tu wa CCM haya ndio mambo ya awamu ya 5.
Mdude akatekwa na kuteswa nusu ya kufa, Wakili wake aliyepata msaada wa pesa kutoka kwenye kituo cha utetezi wa haki za binadamu na kuingiziwa pesa akaunti yake ikafungwa ili ashindwe kwenda Mbeya kumtetea mteja wake , shukrani ziwaendee Wazungu walioingilia kati hadi akapatikana.
Karibu viongozi wote wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Freeman Mbowe walikamatwa na kuswekwa gerezani kwa tuhuma za uongo za kusababisha mauaji ya Akwilina, Ambaye alipigwa risasi na Polisi chini ya Lazaro Mambosasa aliyekuwa RPC, viongozi wa Chadema wakahukumiwa kifungo au kulipa faini ya Mamilioni ya hela za kitanzania, unaweza kushangaa walioua ni Polisi, lakini waliohukumiwa ni Chadema!
Hivyo ndivyo Hakimu Thomas Simba alivyoona, Shukrani sana kwa Watanzania walioamua kuchanga fedha zao ili viongozi hao wa Chadema wasiozee jela
Wanachadema waliopotea, kuteswa na kufungwa ni wengi, akiwemo Bernard Saa Nane ambaye hadi leo hajulikani aliko
Nitasema kweli Daima fitina kwangu mwiko
Kimada mwenyewe ndio huyo!Usisahau na ile Hotel ya kebys raisi wa awamu ya 5 aliyomjengea kimada wake aitwaye KABULA
Umefurahi saaana kuona wadhinifu!😆😆😆😆😆
Wewe unaijua vizuri sana ile ishu ilikua hivi kabla ya kuvunja mguu!Alikunywa konyagi ikamzidi
Tulijua mkiishiwa hoja mtakuja tu hukuUmefurahi saaana kuona wadhinifu!
Wapi uliposema tusije!Tulijua mkiishiwa hoja mtakuja tu huku
RIP Ben Saanane
😆😆😆Dah!Sasa nimeamini juu ya ukweli kwamba "UKWELI UNAPENDA NA NI TABIA YAKE KUKAA SEHEMU ILIYO WAZI UPUNGE UPEPO HUKU UNAWASUTA WATU MADHALIMU"!
NB;Kabendera ni vema uendelee kuchochea kuni hadi waimbe wimbo wa "Air pambamoto" huku wanalia kwa kwikwi.
Jamani kabendera daahDah!Sasa nimeamini juu ya ukweli kwamba "UKWELI UNAPENDA NA NI TABIA YAKE KUKAA SEHEMU ILIYO WAZI UPUNGE UPEPO HUKU UNAWASUTA WATU MADHALIMU"!
NB;Kabendera ni vema uendelee kuchochea kuni hadi waimbe wimbo wa "Air pambamoto" huku wanalia kwa kwikwi.
Ananyoosha mapito kabla masihi hajafika.Watu wanalishwa nzige na asali mbichi kwa nguvu na wamezoea burgers zenye cream nyingi.Jamani kabendera daah
Nafikiri wewe una ujinga wa aina fulani ndio maana CDM mnasambaratishana na kuaibishana hadharani bila staha.Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi huu wa 3, ambao ni Mwezi wa Mungu.