Kwesi Kawawa anafaa kuwa Tanzania one?

Kwesi Kawawa anafaa kuwa Tanzania one?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
2,228
Reaction score
3,045
Nikiri kuwa nilikuwa simfahamu huyu kipa.

Nasikia anacheza Sweeden, je anafaa kuwa Tanzania one?

Amekana uraia wa sweeden? (nje ya mada)


Karibu.
 
Kuongeza kwa changamoto katika kikosi kunasaidia wachezaji wasijisahau. Mwanzo alinitia mashaka uamuzi wake wa kubutua mpira uliorudishwa kwa bahati mbaya na beki wake ila nadhani siyo mbaya.

Mbele pale tutafute mtu kama mbili damu changa tuachane na kina Msuva
 
Back
Top Bottom