Nimecoment kama mdau wa vitu vizuri na mtu mwenye expirience na hao viumbe,pia nimechangia nikiwa aware na viwango vya kimataifa na vile local vya urembo,na pia kama msafiri niliyepati ya kutembea duniani na kukutana na hao uliowaweka kwenye listi yako.Hapa ume comment kiuzalendo zaidi mkuu
Kama ni kwaajili ya uzalendo basi nimekuelewa
Sawa " Mkuu naheshimu maoni yako " Maana binaadamu tunatofautiana " pindi linapokuja suala la kupenda kitu/vitu watu/mtuNimecoment kama mdau wa vitu vizuri na mtu mwenye expirience na hao viumbe,pia nimechangia nikiwa aware na viwango vya kimataifa na vile local vya urembo,na pia kama msafiri niliyepati ya kutembea duniani na kukutana na hao uliowaweka kwenye listi yako.
Kinachofanya Tanzania iwe na warembo pengine kushinda nchi nyingi duniani ni kombinesheni ya makabila tafauti tafauti yaliyopo hapa nchini na namna mchanganyiio huo ulivyotoa warembo wa aina tafauti tafauti na wasifa tafauti tafauti,yaani sampo/combinations ni nyingi mno.
True kila mtu anavigezo vyake vya Uzuri,wengine wanaangalia Rangi,urefu,kuchongoka pua,kalio,hips etc.Pia tupo sie tunaongalia balance ya sifa mbalimbali kwenye package moja.Sawa " Mkuu naheshimu maoni yako " Maana binaadamu tunatofautiana " pindi linapokuja suala la kupenda kitu/vitu watu/mtu
Urembo hauwi described kwa feature moja ama mbili pekee.Hahaha .. mkuu kuna wale watoto wa rangi rangi ni matata sana usipime aisee
Hahah! watoto wazuri ni Mambo yetu soteMambo yako hayo
Mkuu wale sio rangi tu "... sura zao nzuri " na ule uchotara ndio kabisaa " though wana shape za kibantu hips matata sana .. wako vizuri AiseeUrembo hauwi described kwa feature moja ama mbili pekee.
Timaza Latina, habebwi na umbo pekeee ama sura or even color, the are so much in Latina same applies to Brazilians etc.