Kwetu Wote Wanaume Wakware

Kwetu Wote Wanaume Wakware

Hapa ume comment kiuzalendo zaidi mkuu
Kama ni kwaajili ya uzalendo basi nimekuelewa
Nimecoment kama mdau wa vitu vizuri na mtu mwenye expirience na hao viumbe,pia nimechangia nikiwa aware na viwango vya kimataifa na vile local vya urembo,na pia kama msafiri niliyepati ya kutembea duniani na kukutana na hao uliowaweka kwenye listi yako.

Kinachofanya Tanzania iwe na warembo pengine kushinda nchi nyingi duniani ni kombinesheni ya makabila tafauti tafauti yaliyopo hapa nchini na namna mchanganyiio huo ulivyotoa warembo wa aina tafauti tafauti na wasifa tafauti tafauti,yaani sampo/combinations ni nyingi mno.
 
Sawa " Mkuu naheshimu maoni yako " Maana binaadamu tunatofautiana " pindi linapokuja suala la kupenda kitu/vitu watu/mtu
 
True kila mtu anavigezo vyake vya Uzuri,wengine wanaangalia Rangi,urefu,kuchongoka pua,kalio,hips etc.Pia tupo sie tunaongalia balance ya sifa mbalimbali kwenye package moja.
 
Ahsante " finally tumeelewana
 
Hahaha .. mkuu kuna wale watoto wa rangi rangi ni matata sana usipime aisee
Urembo hauwi described kwa feature moja ama mbili pekee.

Timaza Latina, habebwi na umbo pekeee ama sura or even color, there are so much in Latina same applies to Brazilians etc.
 
Urembo hauwi described kwa feature moja ama mbili pekee.

Timaza Latina, habebwi na umbo pekeee ama sura or even color, the are so much in Latina same applies to Brazilians etc.
Mkuu wale sio rangi tu "... sura zao nzuri " na ule uchotara ndio kabisaa " though wana shape za kibantu hips matata sana .. wako vizuri Aisee
 
Back
Top Bottom