Kwetu ya Rayvany yaiburuza Aje ya alikiba nchini Kenya

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
wimbo wa rayvany wa kwetu umeuburuza wimbo wa mkongwa wa bongo fleva alikiba nchini Kenya kwa nyimbo zinazopendwa zaidi.
Kwa mujibu wa daily nation na bbc nchini humo.
Wimbo wa kwetu umeshika nafasi ya 7 huku Aje ukishika nafasi ya 15
 
Usimkosee heshima Rayvanny tafadhali, hiyo nafasi ya 15 aliyopata huyo jamaa imetokana tu na "bifu uchwala" aliyoanzisha na Diamond..
 
Nawasalimu wakuu tuu!habari zenu?!
 
Kiba mwisho Dar,huko kwingine hawamjui kivile,hesabu zinaongea.
 
Kiba nikimwangalia vizuri debe tu lina pigwa saana lkn ni kawaida na ndiyo mana hukuti hata wimbo wake hata mmoja Ku dominate Africa
 
Rayvanny akiongeza juhudi zaidi atakuwa superstar zaidi ya Alikiba na Diamond. Kila kitu kinawezekana ni juhudi na nidhamu zitamfikisha mbali zaidi kwani uwezo anao na kipaji anacho.
 
Mara nyingi huwa najiuliza,
Inamsaidia nini yule mtu ambaye anafurahi kuona mwenzake akiporomoka???
Au inamsaidia nini yule mtu mwenye chuki na mtu asiyemjua???

Moja ya Jambo nililojifunza, watanzania hawapendi kuona maendeleo ya wenzao!
Utapanda bodaboda siku zote hata miaka 10 hakuna anayekuuliza au kukusalimia, lakini ukinunua hata Vitz wataanza kuweka vikao amepata wapi???

Ifike mahali watanzania tuwe na mioyo ya huruma, kuwa na moyo wa kuwatakia mema wengine nawe utafanikiwa!!!

Hii nyimbo ya kwetu ina ujumbe mzuri kwa watanzania, likewise Aje ina ujumbe mzuri kwa watanzania! kwa nini usijivunie kwamba Tanzania imepiga hatua ktk Mziki?? Huoni Nigeria ina wasanii wangapii???

For your information:
Mtu unayemchukia bila sababu au kutokana na juhudi zake za kazi, always anafanikiwa mpaka basi!

Ni Bora umpende adui yako! Maana hatari ni kwamba utakuja kumpenda siku usiyoijua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…