Kwikwi (Hiccups): Chanzo na Tiba (matibabu) yake

Tanks wakuu nimewaelewa ahsanteni sana
 
Tafadhar naomba kujua dawa ya ugonjwa wa kwikwi kwan inanisumbua sana, Umri wangu 25 miaka pia ningeomba kujua visababishi

Hakuna sababu zinazojulikana kwa uhakika kuwa ndizo husababisha kwikwi.

Lakini moja ya vitu au mbinu ambazo husaidia kuipunguza au hata kuiondoa ni kubana pumzi kwa sekunde kadhaa na kuachia.

Jaribu kufanya hivyo uone kama utapata afua.
 
Poleni na majukumu wana Jf.naomba msaada kwa ambaye anafaham dawa ya kwikwi.Nina mke wangu anasumbuliwa na huo ugonjwa kwa mda mrefu sasa.Msaada wana jf.
 


We jamaa ni KIAZI, yani huku unamkatisha tamaa mwenzio, baada kujifunza hapo,
huku kwingine unajifanya Mtaalamu.


Kunywa maji ya kutosha kila siku mpaka lita 3.5 katika masaa 24

Pia kila nusu saa kabla ya kula, kunywa maji, ukisikia kwikwi kunywa maji.


Nitajie uzito na urefu wako kwa msaada zaidi
 
wakuu nasumbuliwa na kwikwi na mafua leo siku ya pili hasa kwikwi ndo yanitesa nitumie dawa gani jaman
 
We jamaa ni KIAZI, yani huku unamkatisha tamaa mwenzio, baada kujifunza hapo,
huku kwingine unajifanya Mtaalamu.


Mheshimiwa mbona unakimbilia matusi? ulielewa nimemaanisha nini kwenye hiyo post?

Angalia pale chini nilimuuliza hivi; ''Kwani nani alikuambia kuwa MAJI NI DAWA YA KWIKWI?''. Ulielewa hapo nimemaanisha nini?

Haya nakushukuru bwana kwa kuniita kiazi.
 
Nawashukuru sana kwan nam nilikuwana tatizo la kwikwi ila linakata baada ya kutumia maji
 
Nina tatizo kila nikinywa bia inapofikia ya tatu au ya nne huwa nashikwa na kwikwi, hivi ni kwanini inanitokea hivyo?

- Solution ni nini?

Nisaidieni mabingwa

-
-


--------- Maelezo--------


--

Sijapata twasira juu ya namna hiyo ya kunywa maji, tupia kapicha kama inawezekana.
 
Mi navyojua dawa ya kwikwi ni maji ya kunywa
 
Jamani wana jamvi mwenye msaada wa jinsi ya kutuliza KWIKWI anisaidie maana inanisumbua tangia jana mchana hadi sasa inanisumbua msaada tafadhali maana maji nimekunywa lakini hola!

 
Tatizo sio kunywa maji ni namna ya kuyameza hayo maji. Weka fundo kinywani meza mara 7 bila kufungua kinywa. Tofautisha kunywa maji na kumeza maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…