Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpeleke hospital vipi anamatizi yapombe au sigara
Ndio anatumia pombe.
Eee kweli nimekumbuka dawa ingine, umgandishie uzi usoni !!Habari jf doctor... Nina ndugu yangu kuanzia jana ana kwikwi inayomuumiza hadi kufua haitulii naomba msaada wa haraka atumie nini ili ipoe??
kwanza poleni! chukua asli mbichi vijiko viwili vya chakula na sukari vijiko vinne vya chai koroga ktk bilauri moja ya maji ya kunywa kunywa mfululizo hadi iishe utapata nafuu haraka endapo hali hii ikiendelea nijulishe tafadhali
Ni vizuri kwenda hospital kwani wakati mwingine kwikwi ni dalili ya serious illness kama vile uremic syndrome iliyotokana na tatizo la figo kwa muda mrefu.
Mimi nimekuwa napata tatizo hili kwa kujirudia rudia kwa, mara ya kwanza lilinisunbua kwa siku mbili, nilikunywa maji nadhani yanaweza fika ndoo mbili halikuisha, nikaenda hospitali...marie stopes wakanichoma sindano kwenye mshipa wa mkono ndio likaisha (hii sindano ilinilaza kama masaa saba hivi), baadae ilivyonitokea nikashauriwa kula ndizi mbivu (visukari) na ikakata, juzi kati limenitokea tena nikajaribu ndizi zikadunda, nikapitia humu jf kuna uzi mzizimkavu alishauri kutumia juisi ya muwa mweusi na asali, sikupata huo muwa mweusi ila nilipata juisi ya muwa nikatia asali kidogo nilivyokunywa kwikwi ikakata hadi leo, hebu jaribu hivyo ila mkuu ikishindikana hospitali ni muhimu zaidi, kwikwi inatesa mno ......
TIBA MBADALA YA MARADHI YA KWIKWI HICCUPS TREATMENTTafadhar naomba kujua dawa ya ugonjwa wa kwikwi kwan inanisumbua sana, Umri wangu 25 miaka pia ningeomba kujua visababishi