Shida ya kwikwi inatokana kumpa maziwa yaliokwisha kuwa ya baridi sana au ni yamoto kwa unywaji wa mtoto..jaribu kumpa maziwa ya uvuguvugu kabla ya kumpa jaribu kudondosha kwenye ngozi ya mkono wako kutest usijaribu kwa kushika chupa..jaribu kuepuka kumpa maziwa ya baridi au ya moto.na wala usije ukampa dawa yoyote ile mtoto kwa kipindi hiki.kisha uje unipe majibu kuanzia leo.
Basi akimaliza kunyonya ameweke begani kwake kwa dkt 5 akiwa anamgonga mgongoni kusaidia maziwa kushika tumboni asikimbilie kumlaza au kumbemba kwa namna yoyote nyingine ile kisha uje unipe majibu..mtoto wangu alikuwa anashida kama hizo pia so nakwambia kwa uzoefu wangu mdongo
Ana umri gani? Imemsumbua kwa muda gani? Ni PM IF U R SERIOUS...... na ushauri niliopata ni kumuekea kauzi kwenye paji la uso
wenye uzoefu Tafadhari na masuala haya
...... na ushauri niliopata ni kumuekea kauzi kwenye paji la uso
wenye uzoefu Tafadhari na masuala haya
Nimekuuliza imemsumbua kwa nuda gani? Ni leo tu au mara kwa mara?
ni Leo tu baada ya chakula cha usiku
Amemeza hewa nyingi wakati wa kula/kunyonya au ameshiba kupitiliza(mmemshindilia chakula kupita uwezo wa tumbo lake) cha kufanya mlambishe sukari nusu kijiko cha chai au msimamishe kichwa chini miguu juu kwa dk 1 au mtekenye ssna mpk acheke au mlaze alalie upande wa kushoto ukibonyeza taratibu sehemu ya chembe ya moyo. Mojawapo litatoa majibu. Gnight nitaomba mrejesho pse