mamitod
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 914
- 385
asante mkuu cc Nyani Ngabu
Km imesaidia poa. Who is Nyani Ngabu? Why cc?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mkuu cc Nyani Ngabu
Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyuki unywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.@KifimboplayerNa ushauri niliopata ni kumuekea kauzi kwenye paji la uso .
Eenye uzoefu Tafadhari na masuala haya.
Asante sana umenifunza kitu ingawa huu uzi una muda ila umenipa somoPole Kichwa Ngumu....usitishike, kwikwi (hiccup) ni kitu cha kawaida kwa watoto wadogo, especially wachanga..ni kama 'reflexes' (sijui kiswahili chake samahani) zinazotokea sababu ya kutokomaa kwa viuongo vya ndani vya mtoto. Kwa hiyo mtoto anapokuwa na kukomaa, basi kwikwi zinapungua pia. Inaweza zikadumu kwa kuanzia dakika chache mpaka masaa kadhaa.
Kitabibu, hakuna tiba ya moja kwa moja ya kwikwi kwa mtoto...kuna vitu vingi watu huwa wanafanya (baadhi ndio ulivyofanya wewe) lakini huwa havisaidii. Lakini kujaribu kum'distract' mtoto wakati ana kwikwi kwa kumvutia na kitu kingine mfano chenye rangi za kuvutia au kinachotoa sauti flani hivi kupata attantion ya mtoto inaweza saidia.
NB: Mara nyingi mtoto anapopata kwikwi ni wazazi/walezi ndio wanaosumbuka...lakini si mtoto, kwani kwikwi haimsumbui mtoto!