Kwikwi kwa mtoto mchanga: Chanzo na Tiba

Kwikwi kwa mtoto mchanga: Chanzo na Tiba

Pole sana kuna mjomba wangu aliumwa na ugonjwa huo, dah ugonjwa mbaya sana, tafuta specialist, ukikosa huko ulipo, nenda zanzibar mnazi mmoja hospital
 
Na ushauri niliopata ni kumuekea kauzi kwenye paji la uso .

Eenye uzoefu Tafadhari na masuala haya.
Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyuki unywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.@Kifimboplayer


stock-photo-black-sugarcane-isolated-on-white-54141133.jpg

Black Sugarcane


Muwa Mweusi
 
Mwanangu alisumbuka sana na kwikwi kila amalizapo kunyonya, nilipata shule kidogo humu ikanisaidia.
 
Pole Kichwa Ngumu....usitishike, kwikwi (hiccup) ni kitu cha kawaida kwa watoto wadogo, especially wachanga..ni kama 'reflexes' (sijui kiswahili chake samahani) zinazotokea sababu ya kutokomaa kwa viuongo vya ndani vya mtoto. Kwa hiyo mtoto anapokuwa na kukomaa, basi kwikwi zinapungua pia. Inaweza zikadumu kwa kuanzia dakika chache mpaka masaa kadhaa.

Kitabibu, hakuna tiba ya moja kwa moja ya kwikwi kwa mtoto...kuna vitu vingi watu huwa wanafanya (baadhi ndio ulivyofanya wewe) lakini huwa havisaidii. Lakini kujaribu kum'distract' mtoto wakati ana kwikwi kwa kumvutia na kitu kingine mfano chenye rangi za kuvutia au kinachotoa sauti flani hivi kupata attantion ya mtoto inaweza saidia.

NB: Mara nyingi mtoto anapopata kwikwi ni wazazi/walezi ndio wanaosumbuka...lakini si mtoto, kwani kwikwi haimsumbui mtoto!
Asante sana umenifunza kitu ingawa huu uzi una muda ila umenipa somo
 
Back
Top Bottom