Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepigwa ngapi?
punguza miaka!!Mmebaki kung'ang'ana na historia tu wengine tulikuwa hatujazaliwaToka nianze kuwa mshabiki sijaiona simba ikipanda ndege ni boti namagari tu.
Kelele kwisha kwisha kwisha kabisa! Kifo cha mende.
Mmebaki kung'ang'ana na historia tu wengine tulikuwa hatujazaliwa
Toka nianze kuwa mshabiki sijaiona simba ikipanda ndege ni boti na
magari tu.
Kimoja tu mkuu.
Hivi mikia mko nafasi ya ngapi kwenye ligi?
Tunaomba kwenye sherehe za kitaifa kuwepo na mashindano sababu sisi ni wa hapa hapa, si mnaona tunavyofanya vizuri kwenye mabonanza! Michezo ya kimataifa tuwaachie hakina Azam na Yanga.