Kyaruzi: Hii inayokuja ni Super El Nino haijawahi kushuhudiwa kwa zaidi ya miaka 500

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Afisa Mfawidhi wa Hali ya Hewa Mkoa wa Kigoma (RMO), Mugisha Kyaruzi, amesema mvua inayotarajiwa kunyesha katika kipindi kijacho inatajwa kuwa ya kipekee kutokana na ukubwa wake, akieleza kuwa haijawahi kushuhudiwa kwa zaidi ya miaka 500 iliyopita.

Kyaruzi amesema hali hiyo ndiyo sababu tukio hilo linatajwa kama “Super El Niño”, huku akitoa wito kwa wananchi kuchukua tahadhari na kujiandaa mapema kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua hizo.

Soma Pia: TMA: October kuna mvua za El Nino zinakuja

"Mvua inayokuja haijawahi kushuhudiwa kwa zaidi ya miaka 500 iliyopita na ndiyo sababu inaitwa Super El Nino - Mugisha Kyaruzi, Afisa Mfawidhi Hali Ya Hewa Mkoa wa Kigoma (RMO)
 
Ndio tutaijua kama Mungu kweli Yupo au Mvua zinajinyeshea Tu bila control yake
 
Back
Top Bottom