Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM


Tatizo wabaya wake ndio wanamwandalia waraka na kuuza hapa jf harafu wanajifanya ndio waraka wake.

Kwanini kuchafuana lakini? wapigane kwa hoja kama kweli wanaona uchungu wananchi wanavyoteseka.
 

Suleiman Daudi,

Pole sana Mkuu kama una shida na uandishi huu.

Nimeamua nikijibu kwa kuona kuwa wee utakuwa mgeni bado na hapa JF kuna kitu kinaitwa KUSOMA NDANI YA MISTARI. Ntaomba sana tena sana uanze kuzoea uandishi wangu. Huwa mara nyingi ninachanganya mchele na Pumba. Mwakalinga ananifahamu kwa hilo na huwa hapati shida na huu mwendo wangu.

Mara nyingi nikiona mtu kaandika UPUPU, basi na mie huwa namjibu UPUPU. Hamna haja ya kumuelewesha mtu anayeanza kwa kusema NASIKIA na baadaye anaaanza kushutumu.

Haya maneno yako ya mwisho kuwa WAZEE wa Kyela watafute pamba, kwa leo nayaacha bila comment kwa sababu tu naona wee bado mgeni. Na ndiyo maana nakuandikia ujumbe wa heshima namna hii.

Kwa Taarifa yako mie naitwa Mwana Itimba wa Sikonge. Mwakalinga George yuko UK anakofanya kazi na ambaye nafikiri umesoma kuwa yuko safarini leo kwenda UK kutoka Tanzania kwa likizo. Ukifuatilia vizuri makala ya Mwakalinga kugombea UBUNGE na jinsi ilivyoshabikiwa hiyo makala, utagundua UMAARUFU na busara za jamaa. Vinginevyo, watu wasingekaliana kooni namna hiyo.

Kama ndiyo ningelikuwa mie hapa Mnyamwezi nataka kugombea na Mwakyembe jimbo la Kyela, hata kama mafisadi wangelikuwa wamenipa pesa, unafikiri Genge la wapinzani lingelikuwa kubwa namna hiyo? Kama kuna mtu kasababisha watu wajadili jumbe nyingi namna hiyo kwa siku moja, basi lazima ujuwe kuwa jamaa kajiandaa vizuri. Labda kwa taarifa yako lazima ujuwe kuwa wapambe fulani walikaa na kuamua kumtuma mtu aende hadi UK kwenda kumuomba jamaa asigombee ubunge. Kama angelikuwa mtu wa kaundika pumba kama zangu, basi asingeliwanyima jamaa usingizi.

Nafikiri umenielewa na utaendelea kufaidi hizi habari ambazo wengine milele tunaziandika nusu siriasi na nusu joki.
 
Tatizo wabaya wake ndio wanamwandalia waraka na kuuza hapa jf harafu wanajifanya ndio waraka wake.

Kwanini kuchafuana lakini? wapigane kwa hoja kama kweli wanaona uchungu wananchi wanavyoteseka.

ha ha h aha ha

Yaani sina mbavu, inafurahisha sana kuona MkamaP akilalamika kuwa watu wanachafuana.

jamani jamani jamani kwa nini kuchafuana? umeyaona haya leo?
 
Inakuwa ngumu kuchuja kama umeshalamba laptop na kuna ahadi ya kupata nyingine

Mfumwa nimempa leo asubuhi LAPUTOPU mbili. Yeye na jirani yake Mwafrika. Usione analia lia hapa maana hajajua kuwa nimem-PIMP his LAPUTOPU. kama wee Mpita njia hilo una shida nalo, matawi ya miti kibaooo, unaweza kwenda kujining'iniza. Ila uende mbali ili usituharibie hewa.
Pia wee kama hujapata LAPUTOPU basi ni-PM nikuandikishe kwenye listi ya masikini wa JF. Mafisadi wamenipa MIHELA hiyooo na hadi sijui niifanyie nini. Tanzania kweli Tambaraleeee....
 

Vipi Hapo!!!!

Mtu anajitolea kupeleka Radio ya jamii, chuo cha mawasiliano huria kwenye majengo yake, ajira, misaada mashuleni, kusaidia wafiwa n.k, kwa kutumia kipato chake baado tu anaoeneka hayupo.
Kumbe Mwakalinga ana nguvu sana na ni hatari 2010.

Kama vigogo wote wanaweza kuwa nyuma yake na kumfadhiri noti kibao kwa ajili ya kampeni zake basi anakubalika kweli, na atafanikiwa lengo lake.

Ni mapema mno kuufikia uchaguzi, lakini nikiangalia upepo wa mambo yanavyokwenda Kyela, nguvu ya Mwakalinga ni ya ajabu sana, maana amekubaliaka haraka sana. Leo uwezi mimi kunidanganya eti afahamiki Kyela wakati ana miradi kibao na amesaidia mambo mengi hata wadogo zetu wanafaidiaka na misaada yake, leo ndio unaleta porojo hizo, thubutu atapigiwa debe tu hata kama mtaongea wimbo uliozoeleka wa mafisadi.

Ni nani anayefahamika Kyela kati ya aliyejikita Kyela na anasiyekuwepo Kyela kwa maana kuwa hakuna chochote alichofanya Kyela.

Mtu asikudanganye, laiti kama Mwakalinga angekuwa mchafu, Mwakyembe ninaye mfahamu mimi angekuwa wa kwanza kwenda kwenye vyombo vya habari kutangaza, lakini imeonekana kuwa Mwakalinga ni safi na anafanya mambo yake kwa ajili ya watu wa Kyela.

Pesa ina nguvu yake, angalia kwenye chaguzi za jumuiya, watu ambao Mwakyembe alikuwa akiwapigia debe walianguka vibaya mno na akaishia kulalama kuwa Rostom Aziz kamwaga 20M kumwangusha, basi ategemee kwenye ubunge atamwaga 600M na kumpiga ngwala.

K. Gwamaka
 
Mmmmm!!!!
Mwenzetu unatoka jimbo gani? Bahati nzuri hauna kura yako Kyela.
Siku hizi unaweza kugombea popote sio lazima Kyela, nakuomba mchukue mpeleke jimboni kwako ukampigie debe, maana kwetu Kyela hatutaki mtu ambaye hajui matatizo ya wana Kyela, hatutaki na nasema hatutaki.
kgwamaka
 
.

Chief.
Vipi kuhusu employment?.Au wewe haulewi hicho?.
Serikali inalia kila siku kuhusu ajira .sasa hizo investment utafanya kazi wewe? au wewe ni chief wa nini.Walio ajiliwa ni wana kyela bwana chief.
 
Duh, ndugu yangu. Kumiliki duka au redio ndo qualifications za Ubunge? Toka lini biashara ya mtu ikawa mali ya wote? Ama kweli, Wanyakyusa mmekwisha![/SIZE]
.

Fataki. Ajira kwa vijana.
Ndiyo maana yake
 

Msg sent
 
Vipi Hapo!!!!
Mtu anajitolea kupeleka Radio ya jamii, chuo cha mawasiliano huria kwenye majengo yake, ajira, misaada mashuleni, kusaidia wafiwa n.k, kwa kutumia kipato chake baado tu anaoeneka hayupo.

Weka mambo kwenye pasipektivu yake. Hayo ya radio, hoteli, chuo cha mawasiliano na mengine yote yanayosemwa hapa ni biashara binafsi za Mwakalinga na wala sio msaada. Kutoa misaada mashuleni ni mapenzi yake binafsi na sio lazima yalipwe kwa ubunge - kinyume chake itakuwa takrima.


Mwenzako anajaribu kweli kuwakwepa hao vigogo - Lowasa, Rostam Azizi, Mwakipesile, Ridhiwani Kikwete na wengine kwa vile ni mafisadi lakini wewe unaona kama hii ni faida?!


Kufahamika Kyela sio tija au sababu pekee ya kumfanya apewe kura.

Kwa maelezo ya pale juu kuwa Mwakalinga anafadhiliwa na vigogo yana pingana na haya ya kusema kuwa Mwakalinga ni msafi. Na kama Mwakalinga atapokea hizo milioni 600 toka kwa Rostam (ambazo ni za wizi) basi inabidi Kyela yote iambiwe vyanzo vya pesa za Mwakalinga.
 
.

Chief.
Vipi kuhusu employment?.Au wewe haulewi hicho?.
Serikali inalia kila siku kuhusu ajira .sasa hizo investment utafanya kazi wewe? au wewe ni chief wa nini.Walio ajiliwa ni wana kyela bwana chief.

Mwakalinga katoa ajira ngapi kwa wana Kyela?
 
Sisi inatusaidia nini kama huyo Mwakalinga wako anaondoka kwenda London,wangapi wanaenda london bwana wewe.
Acha ushamba wa kuwapaisha watu,bwana kama unampenda sana huyo Mwakalinga KAMPIKIE CHAI

Huyo sio kwamba ni mpenzi wa Mwakalinga,yeye ni lile kundi lingine,endelea kufatiliayeye kwa makini utajua yeye nani,ameanza kuleta siasa zake za uchawi toka YANGA, ameanza kupuliza kwanza baadaye atakuja na mbomu....Wamepoteza tayari mwelekeo
 
mwak huu mpk mnadata.......sio invisible ni maxence aliesema.....huo mgao wa EL mtadata mwaka huu maana jama ni mbabe usipofanya kazi aliokutuma lazima akufaanyie..
 
Hata zikiwa biashara za chura, provided ziko Kyela na zinatoa ajira kwa wanaKyela huyo ni mkombozi wa wanaKyela, kuliko kuwa na mpiga gita wa nyimbo zilizojaa pambio za mafuta.
Kgwamaka
 
mwak huu mpk mnadata.......sio invisible ni maxence aliesema.....huo mgao wa EL mtadata mwaka huu maana jama ni mbabe usipofanya kazi aliokutuma lazima akufaanyie..

Ha ha hahaha ... Yo Yo sikuwezi.

Nakwambia watapewa amri za kimorani hadi washangae. Cheki hii...

Lowasa - hifi kire kichamaa kipya kiko wapi, mbona sikioni aisee
Morani1 - unasema kipi posi -- kile cha porandi
Lowasa - ndiyo subayi, kire cha Porand
Morani1 - Nasikia kuwa kiripanda cheti ya moto na kurudi usunguni.
Lowasa ---- kireteni hapa mara moja subayi, lasima kipate mikuki kumi
Lowasa (huku akifyonza kwa hasira) -- pesa yangu yote karasi (kwisaaa)

.......
 

Kumbe uchaguzi ujao ntashinda. Yaani Mpambe wa Mwakyembe anaandika UPUUZI wa namna hiyo? Sasa Morani nao wamekukosea nini?

Leo nimekuona nusura utolewe ngeo na Mnigeria? Unatumia LAPUTOPU yake na akija bibi yake pia unataka UMTUMIE? Mwafika bana, hofyoooo!!! Wee mtu MZIMA kabisa (jando halijatembea) unashindwa kununua laputopu yako hadi unadandia za watu? CAMAAN.

Lazima ujuwe mwakani kibaua kinaota Mbawa. Mwakyembe hakupi tena kazi. Utake usitake, mwakani mie ni mbunge ya KYELA. Kama hutapendezwa, kunywa maji ya mto wa Msimbazi.....
 

Sasa wapi imeandikwa kuwa NIMENUNUA REDIO FM? Watu bana.

Wapi imeandikwa mie ni OWNER wa Jamiiforum, Watu bana,

Wapi imeandikwa kuwa nitagawa LAPUTOPU, watu bana.

Wapi imeandikwa ..... subirini nikakojoe........
 

Ha ha ha ha nilijua hiyo itakugusa. Ha ha ha ha mbavu zangu!

Zilianza story kibao hapa - Ulaya miaka 18, laptop, garagasa, nk. Sasa hivi kimya- fyyyyyuuuu mmefyata.

Mlijiandaaa na story kibao -- ohh Mwakalinga kaanzisha JF -- Invisible kawaaibisha. Mara ohh yeye ndiye mfadhili wa JF --- imevutwa thread ya Sikonge (hana uhusiano wowote na Mwakalinga) akiomba watu wachangie JF na ikaonyesha kuwa Mwakalinga hata hakaribii asilimia kiduchu ya michango yote.

Mtoto wa Kikwete kaona kampeni imebuma katoka ndukiiiiiii --- yule sasa hivi anaganga makovu.

Masikini kambi ya Mwakalinga. Mlidhani mtapata njia rahisi hapa JF. Mlikuja mmejiandaa kumbe si vya kutosha. Ushauri rahisi. Rudini mjipange upya kwa maana safari si rahisi kama mlivyokadiria.

*****back kwenye mazungumzo ya Lowasa na Morani wenzake**

Lowasa - tufanye sasa nini subayi.
Morani2 - tutafute mwingine posi kwani huyu wa porandi hawesi kasi

-----

Lowasa (baaada ya kimyaa kizito) ---- horrrrooooo horrrrrooooooo

itaendelea
 

Hahahaaa Mnigeria alikukunja shati akakunyenyua juu hadi ukawa unasimamia vidole utadhani Michael Jackson anacheza wimbo wa Thriller.

Nikaona Mkuu macho yamekutoka kaa mjusi kabanwa na Mlango. Ilibidi Ngosha nitumie ubabe wangu kukuokoa na Kipigo cha Mboboo huyo.

Next time you must be careful na vya watu. Anza kujitegemea na usikalie visenti vya Mwakyembe, maana utakufa masikini, Mwafika weee!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…