Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Mkuu sisi wazee wa COW BOYS huku Texas tutaendeleza mapambano hadi tone la mwisho mpiganaji Mwakyembe asiangushwe na Mafisadi! Ule mradi Tshirt na Kanga unaendelea vizuri...!

Kumbe zile kanga na Tshirt anazogawa dr. kule Ipinda, Matema na Makwale ndio mradi wa kubuniwa na mtu wa Texas?

Naona mama Mwakyembe anazigawa kweli kweli huku akicheza ngoma za kinyakyusa, kwenye ulaji watu wanajua kupalilia kweli kweli.

Hizo pesa za kupewa na Mengi zitakauka tu kabla ya 2010.

Vipi na wawekezaji wazungu utawaleta lini Masanilo aka Shalom? Kyela tunataka wawekezaji Watanzania na sio hao wazungu wako.
 
Engineer

Usibishane na Mpumbavu, maana watu hawataona TOFAUTI
Hata Mzee Mengi akiishiwa wapiga kura watakuwa wameipembua pumba na mchele...mnajidai kwasababu mnafikiri Lowassa na RA hawawezi ishiwa?

Vipi na wawekezaji wazungu utawaleta lini Masanilo aka Shalom?
Watakuja kabla ya uchaguzi 2010, sina specific dates kuna vitu namalizia kwanza! Kuna wengine watakuja anzisha kiwanda cha kusindika COCOA ili mkulima wa Kyela na Mbeya kwa jumla wafaidike. Hawahitaji laptop wala mvua za Thailand.

Masa aka Shalom wa Texas
 
Koffi Olomide : Sarkozy aka(Mopao, Benoit, Makila, Mabe, Moyibi..)

Dr. Harrison Mwakyembe : Obama


Kuna uhusiano gani kati ya Koffi Olomide na Dr. Harrison Mwakyembe?

JIBU: Zaidi ya kujipa majina ya Marais, wote ni WASANII.
 
Wakuu zangu,
Mimi nionavyo badala ya kuwatengeneza wagombea sasa hivi mnawabomoa..
kaeni pembeni wakuu zangu, fahari wawili wanapogombana nyie majike kaeni pembeni msubiri bwana wa zizi atakuwa nani...mtazaa watoto (watunda yake) ya fahari aloshinda..
Yawezekana kabisa Mwakeyembe na Mwakalinga wakafikia mahala wakakubaliana kukaa zizi moja kwa nafasi zao, Je haya maneno mlokwisha sema si mtaonekana uchi na wachawi ndio nyie jamani?..
 

Baeleze baambie bajue baache Buboa Bapa! Bandugu Bumesikia
 

Mkandara,

Akishinda Mwakalinga, WATAKAA ZIZI MOJA.

AKishinda Mwakyembe, MUULIZE MWAKIPESILE.
 
kwa sababu ushindani upo mwakalinga kaja kutoka uk angalau nayeye andikwe kwenye magazeti mwenzake sio magazeti mpaka luninga nakwanguvu za mungu anaishi hajafa na ajali nikusudi alitumikie taifatena Mwakiembe kama magufuli kyela
 
kwa sababu ushindani upo mwakalinga kaja kutoka uk angalau nayeye andikwe kwenye magazeti mwenzake sio magazeti mpaka luninga nakwanguvu za mungu anaishi hajafa na ajali nikusudi alitumikie taifatena Mwakiembe kama magufuli kyela

Join Date: Thu Jul 2009
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

Welcome on board.....
 
Mkandara,

Akishinda Mwakalinga, WATAKAA ZIZI MOJA.

AKishinda Mwakyembe, MUULIZE MWAKIPESILE.
Mkuu mbona hii imekaa kinyume?...Haya si ndio ya Palestina na Israel..unataka tuamini kisichowezekana..
Ikiwa hapa kijiweni tu imefikia hivyo je ikija fikia ushindi. Sasa ya Mwakipesile aloshinda ndio mkorofi au aliyeshindwa! iweje tuone aliyeshindwa ndiye mzuri wakati uwezekano mkubwa wa uhasama hutokana na mtu aliyeshindwa! Mshindi siku zote hatafuti adui ila ushindi unaweza kukuletea maadui..na kama tujuavyo Ufahari na majitambo ya Mwakyembe ndio yamemletea maadui Lowassa ni mmoja wao. Hapa inanipa shida sana kuamini kwamba Mwakyembe ni mbaya kiasi hicho kwa jamii yetu.
 
Ufahari na majitambo ya Mwakyembe ndio yamemletea maadui Lowassa ni mmoja wao. Hapa inanipa shida sana kuamini kwamba Mwakyembe ni mbaya kiasi hicho kwa jamii yetu.

Kiongozi Mkadara

Tegemea jibu la ovyo ovyo hapa!
 


Wewe ndiye unayejua kuwa Mwakalinga katumwa.
Hakuna atayekuwa mjinga kama wewe kuendelea kusoma post zako ambazo zimejaa ushabiki wa kipumbavu.

Baado nina wasiwasi na wewe.
Ulikuja na hoja kubwa sana hapa.Mara ohoo mwakalinga hajasoma.Mara ohoo ali disco Sokoine.

Sasa baada ya kuona umeumbuka katika hilo kuwa Bwana Mwakalinga ni smart katika elimu.Ana vyeti na ana kazi ya maana kuliko hata ya kwako na huyo baba yako msanii.

Sasa umebadili kuwa Mwakalinga AMETUMWA.Ndiyo mwakalinga katumwa na wana kyela awakomboe dhidi ya huyu mgomvi na mtaka sifa.

Utashinda na computer kuandika ujinga wako,lakini hakuna kitakacho badili wana kyela kuhusu mwakalinga.

Kijana mdogo na mwenye uono wa mbali.Hatumtaki sisi mtukuyu.Aende kwao na ugomvi wake
 
Bado nauliza nini kosa langu kufungiwa wiki nzima kwa kumsupport Mwakalinga?
 
Yes,
Kwa mjibu wa mjinga Masanio theories!!

Mbona umebadili ID ? hizi ni siasa za JF mazee, nasema Mwakalinga hafai ametumwa na FISADIS hivi Masters ya Polland nayo ni kitu cha kupigia kelele? Mtu alishindwa shule SUA mumekubali hapa sasa yanini tena....kitumbua kimeingia mchanga? Big NO kwa Mwakalinga and his alias kule Kyela.
 

Fasadi ni baba yako aliyeifilisi nbc.

Nyang'au mkubwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…