Mkuu sisi wazee wa COW BOYS huku Texas tutaendeleza mapambano hadi tone la mwisho mpiganaji Mwakyembe asiangushwe na Mafisadi! Ule mradi Tshirt na Kanga unaendelea vizuri...!
Kumbe zile kanga na Tshirt anazogawa dr. kule Ipinda, Matema na Makwale ndio mradi wa kubuniwa na mtu wa Texas?
Naona mama Mwakyembe anazigawa kweli kweli huku akicheza ngoma za kinyakyusa, kwenye ulaji watu wanajua kupalilia kweli kweli.
Hizo pesa za kupewa na Mengi zitakauka tu kabla ya 2010.
Vipi na wawekezaji wazungu utawaleta lini Masanilo aka Shalom? Kyela tunataka wawekezaji Watanzania na sio hao wazungu wako.