Kyala Gwamaka
Member
- Jul 22, 2009
- 56
- 0
Nadhani kama wewe ni mpiganaji lazima utumie udhaifu wa adui kumaliza kazi. Mwakalinga lazima akae na mmoja wapo kumaliza aliye mbele yake.Kama hilo ndilo tatizo lake, kwanini hamumshauri aachane na hao wenye harufu ya ufisadi? unajua inawezekana huyu bwana Mwakalinga sio fisadi na mimi sitaki kuamini kwamba ni fisadi lakini kwa kujihusisha na watu ambao tayari sehemu kubwa ya watanzania inaamini kwamba ni mafisadi, basi moja kwa moja anakosa support yao, ndio maana hata hapa jamvini unaona watu wanamjadili saaaana. Muambieni ajitahidi kujiepusha na hao wafisadi kwani watamuharibia mbio za kuingia mjengoni, inawezekana wanakyela wangemhitaji lakini akakwamishwa na ushirika na mafisadi.
Mkuu wa mkoa sio fisadi na sisi hatuwezi kumchagulia marafiki.
Mwakyembe amekuwa akijiingiza makanisani kufanya kapeni chafu na kuwapotosha waumini kitu ambacho hata Mungu hakimpedezi.
Amekaa kwenye mgongo wa Reginald Menghi kama njia ya upataji pesa na kujaribu kujinusuru na hatimaye kushinda.
Kgwamaka