East Africa + Bunge la Muungano ni miaka mingapi?
Au utasema ni vyeo tofauti? OK.
Ni tofauti.
Naomba niulize wakati nakubaliana na wewe kuwa ni vyeo tofauti.
Mwakyembe ametangaza kugombea tena Kyela?
Sijui kama Mwakyembe ametangaza kugombea tena Kyela.