Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Wameamua kuweka Jimbo lao wazi zaidi kwa Watz wote!Hivi naomba kuuliza what's so special about Kyela? ni kwa sababu ya Mwakalinga na Mwakyembe au kuna cha zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameamua kuweka Jimbo lao wazi zaidi kwa Watz wote!Hivi naomba kuuliza what's so special about Kyela? ni kwa sababu ya Mwakalinga na Mwakyembe au kuna cha zaidi?
huyu silencer hana cha kufanya.....kwa hio ina maana mwakalinga na mwakyembe ndio officially wagombea wa kyela?
..hivi kila mwana Kyela anayem-challenge Dr.Mwakyembe lazima awe ametumwa na mafisadi?
Nimetokea kukuchukia Sikonge....nisamehe bureJules Shungu Wembadio aka Papa Wemba; Kuru Yaka; Bakala dia Kuba; Vieux Musee; Formateur des Idoles; Mwalimu; Chef Coutoumier; Mzee; Kolo.
Kuna uhusiano gani kati ya Mwakyembe na Papa Wemba?
WOTE NI WASANII...................
(Jina la KURU, alitumia kwenye film ya La Vie est Belle.)
Nimetokea kukuchukia Sikonge....nisamehe bure
Nikusamehe kwa sababu umetokea kunichukia au nikusamehe kwa kuwa ueacha kunichukia? MHHHHHH!!!!!!!
Wameamua kuweka Jimbo lao wazi zaidi kwa Watz wote!
Hivi ninyi mnaompigia debe huyo Mwakalinga mmeshajiuliza AMESHAWAFANYIA NINI WAPIGA KURA WA JIMBO HILO badala ya hadithi za ATAFANYA HIKI NA KILE?
Siasa za kuangalia personality ya mtu zimechangia sana kutufikisha hapa tulipo.Badala ya kuangalia uwezo wa mtu (kwa kipimo cha aliyokwisha accomplish kwa eneo husika au taifa) watu wanaangalia sura (like ilivyokuwa kwa JK),upole,kuishi ughaibuni,idadi ya digrii (including za vyuo feki) na upuuzi mwingine kama huo.
Jiulize: Amekufanyia nini na sio untarajia atakufanyia nini.Huu sio wakati wa kucheza karata-tatu za kisiasa,we need people who are truly committed to kuangamiza ufisadi na mafisadi.Na hata kama ana mapungufu,Mwakyembe has shown a way.What about Mwakalinga?
Hili nalo ni neno mkuu!Ili iweje?
Kwa kuwa Mwakalinga ameishajulikana ni nani hapa ukumbini, tunaomba na Mwakyembe nae aweke wazi user ID yake ili tuanze kuchuja michango yao hapa na hoja zao. Vinginevyo hapa naona Mwakalinga anaonewa tu kwa kuwa ameishajulikana ni nani.
Mwenye shati la Njano ni Masanilo aka Shalom ambaye nisecretary wa Engineer
Mwafrika naombeni niachieni mie.
Solomon David na dada yangu Nyamizi (hujambo Ilumbuye) na Mtanzania ntaomba mkiona ujumbe namjibu Mwafrika, tafadhali MSISOME. Nakuheshimuni na sintataka mniweke ndugu yenu kwenye kapu la watu wa hofyo hofyo. Sintatumia matusi, ila kamstari katakuwa kembamba sana na iwe isiwe sintakavuka na kuanza kurusha matusi maana si staili yangu.
Ana duka, ukumbi wa mkutano, computer centre (mtu wa IT asiwe na hii, ingelikuwa aibu), hotel na takataka nyingine ambazo hadi sasa ziko zinajengwa. Na hivi karibuni atafungua Radio FM. Radio na miradi yote anaiita KYELA na si MWAKALINGA. Hizo zote zinatoa ajira kwa watu kibao kuanzia ujenzi wake hadi watumishi wa ndani.
Hafai kuwa mbunge maana hatakuwa karibu na wananchi sababu ya ubusy wa shughuli zake hizo, aendelee kusaidia na kutoa ajira bila ya kuwa Mbunge!
Point Masa!
Wazee wa texas