Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mara nyingi tumeandika humu kuhusu mwisho halisi wa CCM jimbo la Kyela tukiwa na vielelezo kamili visivyo na shaka yoyote lakini tulipuuzwa , sasa ni dhahiri mwisho huo umetimia
Pichani ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema kutoka Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi akiongoza mashambulizi kwenye Kata ya IKIMBA inayojumuisha vijiji vya IBUNGU , KILASILO NA MBAKO ambapo Mh Alinanuswe Mwalwange Mgombea Ubunge jimbo la Kyela amefika kuomba Kura za ndio , kwenye mkutano unaopigwa sasa maeneo ya boda , Kasumulu
Kyela Mjini :