Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Shetani hajawahi kumshinda MunguKuna aliyefanya ibada ya kuizika Chadema Mbeya
Mwambie Mzimu umefufuka na unamtafuna bila yeye kujua.Kuna aliyefanya ibada ya kuizika CHADEMA Mbeya
Yule ikifika January tutakuwa tunamuita marehemu BetianaKuna aliyefanya ibada ya kuizika CHADEMA Mbeya
Si walisema alile khako , waendelee tuMwskyembe rudi ukamsaidie kampeni mwenzako
Mbeya wameamua kuwaasi ccm mchana kweupeKyela mjiniView attachment 1585013
Mungu ibariki Mbeya , Mungu ibariki KyelaMbeya wameamua kuwaasi ccm mchana kweupe
shukrani mkuuKyela mjini CHADEMA
Leo kapiga magoti kesho atavua shati huyu.Kyela mjini CHADEMA 2020 imejipanga vyema
Mbona picha za Sugu?!Mara nyingi tumeandika humu kuhusu mwisho halisi wa CCM jimbo la Kyela tukiwa na vielelezo kamili visivyo na shaka yoyote lakini tulipuuzwa , sasa ni dhahiri mwisho huo umetimia
Pichani ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema kutoka Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi akiongoza mashambulizi kwenye Kata ya IKIMBA inayojumuisha vijiji vya IBUNGU , KILASILO NA MBAKO ambapo Mh Alinanuswe Mwalwange Mgombea Ubunge jimbo la Kyela amefika kuomba Kura za ndio , kwenye mkutano unaopigwa sasa maeneo ya boda , Kasumulu
Kyela Mjini :
View attachment 1585007View attachment 1585008View attachment 1585009View attachment 1585010
Mjumbe wa kamati kuu kutoka kanda ya Nyasa akiongoza maangamizi KyelaMbona picha za Sugu?!
Mjumbe wa kamati kuu kutoka kanda ya Nyasa akiongoza maangamizi Kyela
wameanza kufunguka taratibuWandali tu ndo wananiangusha